Mchumba asiyeamini Mungu (Atheist)

Mchumba asiyeamini Mungu (Atheist)

Kaka yangu huyo mama mmoja baba mmoja, hivyo si ajabu kufanana. Kadi yangu ya kwanza ya maktaba kanikatia yeye kwa hiyo tumekunywa kutoka kisima kimoja.
Msalimie sana ....mwambie amemisika humu jukwaani arudi tu.
Mwambie rafikiye kutoka mama mwingine anammkumbuka ila kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa moderator nilibadili I'd na kuiacha I'd kongwe na ya kihenga.
 
Eti mtoa mada nae wakiume jaman........mbona maneno yako yamekaa kishost shost vipi kwani
 
Msalimie sana ....mwambie amemisika humu jukwaani arudi tu.
Mwambie rafikiye kutoka mama mwingine anammkumbuka ila kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa moderator nilibadili I'd na kuiacha I'd kongwe na ya kihenga.
Mbona yupo hapa, hata jana alikuwepo.Hakai sana anachungulia na kuchangia kidogo tu halafu anarudi kwenye miradi yake.

Anapiga sana misele Australia/Indonesia sasa.
 
Nimepata shida kukuelewa kumekuwa na errors nyingi kiasi kwamba imeniondolea hamasa ya kumalizia kusoma na kufatilia comments za wadau .

NB: HII NI KWA
MTAZAMO WANGU
 
Dini ni kichaka cha kujificha tu mkuu kama mmependani ni vizuri mkawekana ndani
 
Athiest si sawa na Rastafarians bro nijuavyo mimi. Hawa wanaamini katika Sayansi tu na si Mungu wala mtu. Rastafarians wana imani yao.

Hata hivyo inatosha kujua kwamba kimtazamo lazima mnatofautiana mbali sana,hivyo.....ni wewe kuamua lipi jema kwako nautapenda kuwa na familia ya aina gani.
----Kupanga ni kuchagua----
 
Kaka yangu huyo mama mmoja baba mmoja, hivyo si ajabu kufanana. Kadi yangu ya kwanza ya maktaba kanikatia yeye kwa hiyo tumekunywa kutoka kisima kimoja.
Hahaha
Aisee mmefanana kila kitu.
Kiranga kaoa mke anaitwa Bi Zuhra, Al-Watan nae hivyohivyo.

Niliona kiranga kakomenti juzi, signature yake ni "sent from my kimulimuli, Al-watan nae ilikuwa hivyo.

aisee!!
 
Aaah, we wapi, we unachanganya mambo tu.

"Bi Zahra" si jina la mtu ni jina la jumla la mke twatumia, kama "Bi. Mkubwa".

Mkuu unategemea nitatoa jina halisi la mke wangu hapa?

Hiyo signature labda kuna siku tuli share tablet ndiyo ikawa hivyo.
 
Athiest si sawa na Rastafarians bro nijuavyo mimi. Hawa wanaamini katika Sayansi tu na si Mungu wala mtu. Rastafarians wana imani yao.

Hata hivyo inatosha kujua kwamba kimtazamo lazima mnatofautiana mbali sana,hivyo.....ni wewe kuamua lipi jema kwako nautapenda kuwa na familia ya aina gani.
----Kupanga ni kuchagua----
Ukishaamini Mungu, hata jambo la kuamua linakuwa na shaka.

Maana unaweza kuambiwa Mungu kashapanga sisi tunaishi kwa neema zake tu.

Maana yake hata mtu kuamini au kutoamini Mungu ni kudra ya Mungu tu, si kwa jitihada ya mtu.

Halafu hapo hapo unaambiwa usipoamini Mungu utahukumiwa kiyama, kwa kuwa hukuamini Mungu.

Wanaoamini Mungu hawana hata logical consistency, wako all over the place.
 
Back
Top Bottom