jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
na mimi nimehisi hivyoKiumbe gani huyo hana hofu ya Mungu itakuwa si mtu
na mimi nimehisi hivyoKiumbe gani huyo hana hofu ya Mungu itakuwa si mtu
Kwa nini unafikiri Mungu yupo?Mara ya kwanza nilikutana naye mkesha wa mwaka mpya Kanisa la Roman Catholic nikajua moja kwa moja nimepata mcha Mungu, kidume cha bara nikazikaza nikamfuata na kuanza vijisalamu na kujipendekeza hapa na pale. Stori zikanoga nikakamatia chini namba, kitu nili-note kana vya viingilishi sana na kanafaa great thinker forum, ok
Mwanawane baada ya hapo tukaanza vidate vya kumtoa hapa na pale kamanda nilitest kupiga chapu nikakutana na protocal kali, ok! Nikaobey after a week nikaanza kutupia mudogo mudogo, kako fiti level za kamasutra.
Long stori short sasa nikajaaa nikaanza kumchunguza kama anafaa kuwa mke, hamadi asilimia 90 ya wanaomjua walim-comment wife mineral, ok! Nikabidi nianze kumjua kiundani mitazamo yake, dah mwanawani demu kumbe hana dini ni ATHEIST yaani haamini uwepo wa Mungu. Mwanzo nilidhani ananitania, kuuliza watu wakanambia ndo walivyo kwao hata baba zake wengi wanaishi ng'ambo ni ma atheist au rastafari.
Nikamuhoji alifuata nini kanisani akaniambia yeye hupenda kwaya za Katoriki na alikuja kwa mkumbo wa kampani tu ngachoka. Nimejitahidi kumuitia watu wamuhubilie ananinunia week nikituma mtu na anamajibu makali ya vya-logic kujustfy mambo yake.
Mimi ndo sihemi sisemi natumbua macho ka nakatwa kuchwa kwa meno. Nimemuuliza tuoaneje anasema yupo tayari kuzuga mkatoliki tuoane ila nisimsimulie ujinga wa vya Yesu eti.
Jamani nishaulini sijui nifanye nini ?
Atheist siyo mpagani.Yaani sio yeye tu ana marafiki kibao huwa ananitambulisha kuwa wapagan
niwelage lūlū mwanikeWamwise lolaga ipande yaya umwenuyo
Umedadavua vizuri kuhusu upagani na atheism ila bado hujamshauriAtheist siyo mpagani.
Mpagani ni kitu tofauti na atheist. Kama unajali matumizi sahihi ya maneno.
Atheist haamini kuwapo kwa Mungu. Mpagani anaamini kuwapo kwa Mungu au miungu, lakini iliyo tofauti na unayoamini wewe/ wazungu, mathalan mtu anayeamini mizimu na dini za asili za Afrika.
Mtu kama mimi nisiyeamini any supernatural power si sahihi kuniita mpagani. Kuniita mimi mpagani ni sawa na kusema mtu aliyenyoa kipara kichwa kizima kibaki ngozi tu kwamba hicho kipara chake ni mtindo wa kusuka nywele unaoitwa kipara. Huyo hana nywele. Kanyoa. Kipara si mtindo wa kusuka nywele.
Halafu, kwa watu walioelimika, waliojifunza maishani, vyuoni, waliosoma vitabu vya graduate school level sociology, anthropology etc, matumizi ya neno mpagani yanaendana na dharau kwa tamaduni usizozifahamu au kuzikubali.
Katika sehemu za watu walioelimika na kustaarabika hili ni neno la aibu kusema kama huna nia ya kutukana kwa mizaha ya kejeli tambo.
Mathalani wazungu waliwaita mababu zetu walioamini dini za asili wapagani. Dini hizi nyingi zilihubiri mambo kama kuheshimu mazingira, kitu ambacho wazungu hao hao wanatuhubiria leo kwa sayansi.
Akisema babu muafrika tusikate miti ni mpagani anayeabudu miti.
Akisema mzungu ni mwanasayansi mwanamazingira.
Akisema babu muafrika chupa zilizofunguliwa tusizitupe maana zinaweza kutumika tena kuhifadhi maji na vimiminika vingine, huyo ni muafrika mshenzi asiyejua matumizi sahihi ya vitu.
Akisema mzungu hilo hilo, huyo ni mwanasayansi mwanamazingira anayefanya recycling kupunguza uchafuzi wa mazingira.
Mimi wasichana wenye akili pevu ambayo haiogopi mijadala na mambo mapya walinioenda sana kwa sababu ya kuwa atheist.Umedadavua vizuri kuhusu upagani na atheism ila bado hujamshauri
Kwa situation kama hiyo mmoja akiwa atheist na mwengine ni theist linapukuja suala la ndoa inakuaje
Binafsi bado niko njia panda koz ni issue ambayo inaweza mkuta mtu yeyote ukizingatia kadri muda unavyoenda ndio kundi la wasioamini uwepo wa mungu linaongezeka
Naomba maoni yako plz
Oooh okeyMimi wasichana wenye akili pevu ambayo haiogopi mijadala na mambo mapya walinioenda sana kwa sababu ya kuwa atheist.
You see, I am not merely an atheist. I am an individual.
Sasa watu huwa wanaamini atheists ni wapagani fulani ambao hawaamini Mungu na hivyo ni wakatili na hawana maadili.
Kabla ya kuwa atheist nilikuwa Mkristo. Babu yangu upande mmoja mmalim, upande wa piku mchungaji. Baada ya ukristo nilisomea u Buddha ili nije kuwa Buddhust monk.
Sasa wanakuta atheist fulani ambaye yuko very compassionate, loving, caring etc (I flip in a millisecind if one gets on my bad side though).
Suala la ndoa ni makubaliano ya watu wawili. Ni bira kutafuta mtu mnayeendana kiimani (au katika kukosa imani).
Muhimu zaidi kwangu ni, kama mtu hajaweza kukubali kwamba Mungu hayupo, na akaja mtu wife material ana kila kitu ila haamini tu Mungu yupo, huyo asiyekubali kuwepo kwa Mungu does nit deserve the one who seem to be more sopbisticated. Wapo kwenye levels tofauti za uelewa na hilo linaweza kusababisha matatizo kwenye ndoa.
Ndoa ya serikali kwa Mkuu wa Wilaya. Masela wangu wawili na rafiki yake mmoja. Halafu sherehe fupi ya watu watano Mikadi beach. Then dinner fupi kwa wazee kubariki ndoa.Oooh okey
Vipi mlifunga ndoa ya serikali au mli pretend ndoa ya dini flani kisha mkarudi kwenye mnachokiamini/kijua
Bi zuhra yuko poa?
Kwahiyo tuwaitaje kwa kiswahili?Atheist siyo mpagani.
Mpagani ni kitu tofauti na atheist. Kama unajali matumizi sahihi ya maneno.
Atheist haamini kuwapo kwa Mungu. Mpagani anaamini kuwapo kwa Mungu au miungu, lakini iliyo tofauti na unayoamini wewe/ wazungu, mathalan mtu anayeamini mizimu na dini za asili za Afrika.
Mtu kama mimi nisiyeamini any supernatural power si sahihi kuniita mpagani. Kuniita mimi mpagani ni sawa na kusema mtu aliyenyoa kipara kichwa kizima kibaki ngozi tu kwamba hicho kipara chake ni mtindo wa kusuka nywele unaoitwa kipara. Huyo hana nywele. Kanyoa. Kipara si mtindo wa kusuka nywele.
Halafu, kwa watu walioelimika, waliojifunza maishani, vyuoni, waliosoma vitabu vya graduate school level sociology, anthropology etc, matumizi ya neno mpagani yanaendana na dharau kwa tamaduni usizozifahamu au kuzikubali.
Katika sehemu za watu walioelimika na kustaarabika hili ni neno la aibu kusema kama huna nia ya kutukana kwa mizaha ya kejeli tambo.
Mathalani wazungu waliwaita mababu zetu walioamini dini za asili wapagani. Dini hizi nyingi zilihubiri mambo kama kuheshimu mazingira, kitu ambacho wazungu hao hao wanatuhubiria leo kwa sayansi.
Akisema babu muafrika tusikate miti ni mpagani anayeabudu miti.
Akisema mzungu ni mwanasayansi mwanamazingira.
Akisema babu muafrika chupa zilizofunguliwa tusizitupe maana zinaweza kutumika tena kuhifadhi maji na vimiminika vingine, huyo ni muafrika mshenzi asiyejua matumizi sahihi ya vitu.
Akisema mzungu hilo hilo, huyo ni mwanasayansi mwanamazingira anayefanya recycling kupunguza uchafuzi wa mazingira.
Kama unakusudia atheist, waite wasioamini Mungu.Kwahiyo tuwaitaje kwa kiswahili?
Atakwambia siitaki misingi hiyo. Nilikwambia nimeenda kanisani kusikiliza kwaya, siamini Mungu na ulijua hilo kabla ya ndoa.Midhari anakubali kuolewa katoliki hamna shida oa baadaye taratibu unamuwekea misingi ya kumfanya atambue kuwa mungu yupo
Ngosha likagaga kishimbe nale ngosha wa mbasaniwelage lūlū mwanike
Mpagani na atheists ni watu wawili tofauti, .Kwa Mara ya kwanza nasikia mwanamke mtanzania kuwa ni mpagani
Yuuuu!!! nahubhaga bhabha, nilekejege ngalūNgosha likagaga kishimbe nale ngosha wa mbasa