Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,244
- 4,014
Gashinaga bakalombaga ghiku unsamaha omukisukuma? Wanilanga nadebaYuuuu!!! nahubhaga bhabha, nilekejege ngalū
Gashinaga bakalombaga ghiku unsamaha omukisukuma? Wanilanga nadebaYuuuu!!! nahubhaga bhabha, nilekejege ngalū
Al Watan......Kwa nini unafikiri Mungu yupo?
Binafsi si amini ktk dini isipokuwa Naamini uwepo wa Mungu, ambae ni nguvu ya asili,Mnafanana mawazo ndo maana
Huyo na kiranga tofauti ni majina tu otherwise kila kitu wanafanana, kama ni kaka yake basi ni identical twins wanashare vinasabaAl Watan......
Nakufananisha na member mmoja alikuwa maarufu sana humu jukwaani aliitwa kiranga ni muda mrefu sana sijamuona humu ndani.
Hakika nilipenda mijadala yake namna anavojenga hoja na pia kiingilish chake kilikuwa amazing.
Mnafanana miandiko na misimamo juu ya Mungu kama sio wewe kiranga basi ule msemo wa duniani wawili wawili uko sawa kabisa.
Otherwise keep it up your uniqueness.
Mkuu chukua mnazi hapo au boha naja lipaMkuu..huyu Mungu unayeubiriwa nakila mtu humu sialikuja kwanjia za mashua..!
Huna haja ya kumjudge mwanamke kwa dini kabila etc..aslong ni mwanamke mwenye akili timamu then sioni tatito popote..
Hehe usinipe pole mtanzania. Hata mimi naweza kupa pole hiyohiyo.poleni sana
Kaka yangu huyo mama mmoja baba mmoja, hivyo si ajabu kufanana. Kadi yangu ya kwanza ya maktaba kanikatia yeye kwa hiyo tumekunywa kutoka kisima kimoja.Al Watan......