pamoja na kuwa ni hadithi.....
huyo dada hawezi kuwa serious.....
Wanaume wote hawa waliojaa?
Wapo kibaaaaaaoooooo wanatafuta kulelewa....
Angejivutia mmoja
Na utandawazi wote huu wanawake wanangoja kutongozwa tu?
Hawaoni wenzake wanavyochangamkia tenda JF?
Halafu mwanamke anaweza kumtongoza mwanamme na kumfanya mwanamme afikiri yeye ndo kaanza kumtongoza mwanamke.
Story ya kutunga au mdada ana matatizo ya kisaikolojia.
Hebu nieleweshe; kwa nini alikupeleka bedroom kwake wewe mdogo mtu?
Au hukuelewa jumbe?
Huyu nae ana kiranga. Hakumuelewa dada wa watu. Hii ndo trick ya 'sikukutongoza'. Unamuonyesha mtu bedroom yako na kumsimulia haujapata mwenza? Am i too old fashioned?
It never be too late unless you are dead...
Ni formula tu ya maisha kwamba ili upate kile lazima ukose hiki..
Wana bahati wanaovipata vyote at a get go....
Mmh, si azae tu alee watoto wake?!!!
shemeji siku hizi umekuwa mkaliiiiii!Ulijiwahia au nlikuwahi? Rekebisha kauli yako
shemeji siku hizi umekuwa mkaliiiiii!
unahisi kuna watu wananisololea nini!manake huuukali huu!sijui!:A S 39: