Jamaa bado ana nafasi ya kusamehe!
Hivi ni nani ambaye hupata demu bikira na kumuoa hapa mjini siku hizi. kwahiyo kila demu anakuwa amepigwa kimtindo katika life cycle yake kabla hajaolewa.Na bado watu huoa hao waliopigwa... Nani ambaye hufurahia kupata story ya maisha ya mapenzi ya mpenzi wake kabla hawajawa pamoja?
Je wana uhakika gani kuwa jioni wakati fulani hawatarejea kwenye mazizi yao ya zamani? Kuna tofauti gani hapo na kupiga au kupigiwa ukiwa katika pendo?
Wajua kupenda ni upofu... Jamaa amejua kuwa kamegewa, akatafakari akaona hawezi kuacha... Pia ameomba ushauri, akitegemea tumpe ule unaopelekea yeye kuendelea na mpenzi huyo! Hii ina maana kuwa jamaa amependa ile mbaya, na kwakuwa demu ameomba msamaha... basi na amsamehee... kwani ni nani aliye msafi?
sikiliza wimbo wa mwana FA,subiri subiri kwanza utapata mwingine,tatizo la vijana unajikommit wakati hata hujaoa,kuwa nao hata kumi alafu kila mtu unampima kivyake.kisha utapata mke halisi
Yuko wapi huyo atakaeshushiwa ambaye hajaguswa na wengine ... ni kubahatisha sikuhizi otherwise nyote mnachukua used these days ... tena worse for wanaume maana hawana alama yoyote .. so they are used ...used and almost misused!!!!!
Give her second chance kama hana maradhi ... kitendo cha kwenda kumpima tu kitamtia adabu ... ame confess .... wewe unataka asisamehewe
Ukimegewa Demu Wako na wewe tafuta Mnyonge Umegee..haipunguzi machungu ila inaongeza Hadhi ya Kiume........''
kwi kwi kwi!
Mbona wengi tu ambao wapo NEW tena mjini hapa hapa utawaona.Lazima uwe mjanja kuwapata unafanya booking mapema lasivyo kila ukigusa utakuwa unakuta kitu used.Inakuwa soo tena.
Mheshimiwa MTM, the essence of my posting ni ule msemo wa wahenga usemao "ukiangalia alacho bata, huwezi kumla'. Hivyo basi kama mshakaji bado anampenda demu na amekonfess... basi amsamehe kwani hakuna aliye msafi!!!
Fidel80 , ngoja nikupe siri mdogo wangu, sikuhizi kuna dawa nasikia na sabuni pia . . mambo yanakuwa waaaaaa
Hizo dawa zipo nyingi lakini mpya zinafahamika na used zinafahamika...unataka kuniambia siku ukauziwa simu ya zamani imevalishwa housing mpya hautajua?
Kama ushawahi tumia mpya na chakavu ni rahisi kutambua hapo... Naima najua hili wafaham sema kuna wachache na wengi wanaoibiwa kwa hili... Ila mashine ambazo hazijatumika mjini hapa hapa zipo na ni nyingi tu...
na ukimkuta wa mnyonge ana ngoma?
Ndugu yangu kumbuka huyo ni mchumba si mke na hata kama umempenda mno na kuhisi huwezi kuishi bila yeye, kitendo cha kuingia kwenye ndoa huku tayari humuamini bado ita ku-cost sana kwenye ndoa yako na hutamuamini kamwe ingawa unampenda.
Ni busara kuachana na mchumba lakini si mke, kama ameweza kumegwa na hao jamaa sasa hivi wakati wa mapenzi ya uchumba je, mkiingia kwenye ndoa na kuishi miaka 5 ambapo penzi hushuka na kupanda?
Mimi nakushauri chukua kikombe cha chai au kahawa then kaa sehemu tumia akili yako yote, uwezo wako wote kupiga hesabu je bila yeye unaweza kuishi na kupata mwingine? kwani mchumba si mke. Historia hujirudia na wakati mwingine unaweza kujikuta umechelewa. Ila mwamuzi ni wewe.
Ukimegewa Demu Wako na wewe tafuta Mnyonge Umegee..haipunguzi machungu ila inarudisha Hadhi ya Kiume........''
mheshimiwa Mtm, The Essence Of My Posting Ni Ule Msemo Wa Wahenga Usemao "ukiangalia Alacho Bata, Huwezi Kumla'. Hivyo Basi Kama Mshakaji Bado Anampenda Demu Na Amekonfess... Basi Amsamehe Kwani Hakuna Aliye Msafi!!!
Wenzangu naona mnasahau kitu kimoja ambacho Chichi amekieleza, nacho nikwamba.. ule msamaha kama msamaha tu tayari keshautoa. Tatizo ni kwamba pamoja na kuwa msamaha wa kidunia umeshatolewa, ndani ya roho yake kuna kitu ambacho kimechefuliwa. Kitu hicho ni kiini cha uwepo wake wote, something that makes him - him, something core to his consciousness. Ndiyo maana kila mara anakuwa na hilo dukuduku, haliondoki na vigumu kuondolewa na mtu wala maombi. Ni dukuduku na jambo la rohoni ambalo likishakuwa violated - kwa kifupi, halifutiki!
Anaweza akaenda msikitini au kanisani kuombewa, anaweza akaenda kulipiza kisasi, lakini ile violation kwa vile imeshatendeka, no matter what, the person will never forget.
Kama atajitahidi kuvumilia na kuonesha amemsamehe, hata baada ya miaka 40, Chichi bado atakuwa na scar ya hiyo violation. Ni ya milele and has got nothing to do with mwenzawake. Huyo mwenzake hata kama atakuwa amebadilika na kujirudi tabia yake.... bado, kiini cha yote ni hiyo violation iliyotokea ndani ya conscious ya Chichi. And the sad thing is, when that violation happens, IT IS IRREVERSIBLE!!
Pole Chichi.
SteveD.