Ni kiasi gani cha muda mtu anahitaji kusahau... Tatizo lipo hapo natamani ningeweza kuchukua uamuzi tofauti, kwani tangu nilipojua nimekosa amani, the Body is willing but the Spirit is too weak, kifupi nampenda sana huyu binti, itz just i cant live with the fact kuwa kuna wageni walimtembelea.
kwa jinsi ulivyo eleza hapo juu huyu hakufai tena hafai atakuja kukuletea malazi ndani umeona tayali kesha megwa na jamaa wawili tofauti ndani ya miezi 5,je ukikaa mwaka si utakuta kesha kuwa USED wewe mpige chini tu.
Kama kweli bado wampenda basi kubaliana na haya kushare mapenzi na hao jamaa kwani najua mahawala iwa hawaachani hata siku moja ila wanancho fanya ni kukumbushia pili kupata malazi kwa starehe fupi uliyo ing'ang'ania ambayo inaweza ikakusababishia kifo ukatoweka mapema.Wapo wengi bana na wenye sifa zaidi ya huyo mpige chini tu.
Kana-ka-Nsomali..! DuhUnampenda na umeshaamua kumsamehe sasa sijui msaada unaoutaka ni upi hapa. Nahisi bado unaumia sana moyoni mwako kwa yaliyojiri kisogoni mwako na unatamani ungekuwa na courage ya kumuacha, zigo la maumivu limekuelemea ndio ukaamua kuja kulitua hapa barazani.
Nikuambie ndugu yangu, dawa ya hili suala ni ndogo sana- Na wewe nenda ukageme, tena ikiwezeka wewe kageme mara mbili ya idadi yake, you will be so suprised the difference it makes, you will regain urijali wako back and it will make you feel good about yourself na utajikuta umemsamehe jumla na kuzidi kumpenda mwandani wako zaidi, ila tu usisahau daluga mwanangu kwenye revenge mission yako, goodluck!
KKN
Senior Sexpert.
NaimaomariYuko wapi huyo atakaeshushiwa ambaye hajaguswa na wengine ... ni kubahatisha sikuhizi otherwise nyote mnachukua used these days ... tena worse for wanaume maana hawana alama yoyote .. so they are used ...used and almost misused!!!!!
Give her second chance kama hana maradhi ... kitendo cha kwenda kumpima tu kitamtia adabu ... ame confess .... wewe unataka asisamehewe
Naimaomari
Hujatutendea haki.
Si mahala pote ambapo EMBE CHANGA WAWEZA KUZIANGUA....MAHALA PENGINE SHARTI UZISUBIRI ZIWIVE..........
Inategemea wewe NAIMAOMARI waishi wapi.....waishi ambako Embe zatunguliwa kiholela au.......
mwenzangu Hapa Bongo Utaula Wa Chuya ... Upepo Mdogo Tu .. Embe Changa Zote Chini Kwenye Mchanga ... Hao Wapopoaji Ndiyo Usiseme Maana Sikuhizi Wendawazimu Kabisa .... Wanalenga Tu Jiwe .. Likipata Bivu Twende Likipata Changa Twende ... Tena Sikuhizi Wanavichukulia Eti Vichanga Ndivyo Salama .. Havina Maradhi ... Taabu Tupu
Kisarawanda Hamna Tena Mwenzangu ... Somo Hana Kazi Sikuhizi