Mchumba anatafutwa

...................................................................................
 
MDA WA KU-PLAY MATCH MAKER

[h=2]
icon1.png
natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)[/h]
dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkiristo.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkristo,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki​

Last edited by tabia; Yesterday at 13:46.​

  • HAPO JE?TAFUTANENI BASI
 
hebu madam x ni pm 2ongeekiundan zaidi coz huku kuna wa2 wata2interfere maana wataona maongezi yananoga.
 
MDA WA KU-PLAY MATCH MAKER

icon1.png
natafuta mchumba mimi mwanamke(seriosly relationship)

dear wana jf
mimi ni msichana mwenye umli wa miaka 24 natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27-33
wasifu wangu
mnene wastani,mrefu wastan,elimu ya chuo,sijawahi kuolewa wala sina mtoto,mkiristo.
wasifu wa mwanaume
mrefu,elimu ya chuo(degree)mkristo,awe na kazi,awe hajawahi kuoa.
kwa mwenye vigezo naomba ani pm pls.jokes sitaki​
Last edited by tabia; Yesterday at 13:46.​

  • HAPO JE?TAFUTANENI BASI

Mkuu yani huyu dada mwenye hizi sifa tume match vitu vingi sana kasoro dini tu, ila haina shida ngoja niendelee kusubiri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom