Nchaby
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 797
- 259
- Thread starter
- #41
unastahili tindikali... unastahili eeeenh! unastahili kumwagiwa asidi, unastahili eenh!
aisee wewe ni mother killer! siku-imagine jinsi flow ilivyoenda na wewe ulivyokuja ku-react!
Excel unanionea bure. Mie nimetenda baya gani mpaka unihukumu na adhabu hiyo ya kumwagiwa tindikali??
Mie natekeleza makubaliano yetu ya tangu tulipoanza mahusiano. Iweje leo hii nionekane mbaya?
Kwanini unashindwa kuuona ukweli, kasema mwenyewe anataka mahusiano tu lakini kuolewa na mimi kamwe hataki. Leo namtangazia kumpata wangu wa maisha, yeye anacharuka mpaka kufikia kunitishia maisha.
Binadamu kwanini tunaoneana namna hii??