Mikipewa si munaoneshaga ufundi wote sass kanogewa kampiga chini Yule Kazi unayo atakacho kufanyia uje utuambie hapaKaja kwani kosa langu nini mpaka anikomeshe? Kugegedana ilikuwa makubaliano ya wazi kabisa yasiyo na lengo la kuoana.
Mkuu kapalamsenga, nimemkumbusha sana na naendelea kumkumbusha, haelewi kabisa. Na hata anaposema kuwa aliachana na huyo mchumba wake hakuwahi kuniambia hata siku moja.
Japo jukwaa hili si mahali pa hoja yako, lakini kwa ufupi nitakujibu kwamba, ulikosea pale ulipokubaliana na yeye kuwa na urafiki wa rejareja kiasi cha kuwa mnagegedana mara kwa mara. Kama kweli shida yako ilikuwa ni kuoa, ungelisimamia msimamo wako huo huo na yeye angekuheshimu. Lakini sasa umeshachemka. Kwa taarifa yako usalama haupo. Ni heri kabisa umuoe.
Mkuu! Uliwah kumuuliza "Apaikunda" maana yake ni nini?
Maana majina yetu haya mengine ukiambiwa maana, ndio utajua maana..
Lakini mkuu lengo lake na mimi haikuwa kuoana. Na yeye mwenyewe ndiye aliyesema kuwa hakuna kuoana!
Sasa mie nikaendelea na kutafuta wangu wa maisha. Nimempata, sasa yeye ananitishia! Ndo nini sasa! Mbaya zaidi ni mmachame. Hapo ndo nachanganyikiwa kabisa.
Ipo rahisi, jifanyie assessment mwenyewe
1. Unadhani huyo Apaikunda bado anafaa kuwa mke wako
2. Ladha/utamu wake umekidhi viwango na vigezo vyako
3. vision zenu zinaendana
Mfanyie assessment Apaikunda wako
1. Amebadili mawazo na yupo tayari kuoana nawe, na kama ndio ni kwa nini hakusema
2. Je yupo serious kuwa ukimtosa hutakatiza mwaka?
3. Anayafahamu majukumu yake kama mke na yupo tayari kuyatekeleza
ukipata majibu, linganisha na huyo mwingine, swali la kizushi naye umesha mgegeda? kama hapana fanya hima ujue ladha halafu compare na Apaikunda wako, kama tayari chaguo ni lako! Ila ujue UKIMWI ni hatari,
Hama Kimya kimya. Au hata kazini umemwonyesha? Nilishakutana nalo hilo. Suluhu niliipata polisi. Kwamdada ilikuwa ngumu kuimeza IPA mwishowe alikubali na sasa nimiaka 8 name tunasalimiana fresh tu.