Mchumba ameenda Mpanda amenisaliti zaidi ya mara tatu, amerudi Mwanza kaninyima uroda kaenda kumpa jamaa mwingine. Ananiomba msamaha eti nimuoe

mimi tayar nina ndoa bt nimemueleza hivo coz kuna jamaa yangu kafanyiwa visa na mkewe akaoa mwingine bt alomuoa ndo mtihani zaidi mpaka ikabidi amrudishe wa kwanza

kwenye mahusiano/ndoa ukibahatika unaweza jisifu bt ukiteleza utajuta sana.
Nakukubali mkuu kwa busara zako ktk mahusiano hakika watu wengi humu wanashauri kimhemko bila kujiweka ktk nafasi ya wanayemshauri na wengine wengi wanaotoa ushauri ni ma singles wasiojua uhalisia na maumivu au raha ya ndoa.
 
Nikiangalia foleni ya wake za watu ambao naweza pita nao nagundua kua swala la kuoa ni kujitia ktk matatizo makubwa , usaliti imekua ni sehemu ya maisha ya ndoa , hivyo kwakua unampenda hukupashwa kuja kuomba ushauri humu Ila ongea na moyo wako kisha amua cha kufanya
 
right, humu ndani ukitaka ushauri then ukakosa umakini basi ujue ushauri ulochukua ndo utakupoteza zaidi.
 
Pumbuvu kabisa tena jinga wewe .Na hili ni lakuja kuomba ushauri humu kwa hakika wanaume tunapotea duniani yaani kwa makusudi alafu umedhibitisha na bado ukamsikiliza na umekuja kuomba ushauri hapa pmbafuuuu sana ningekuwa karibu na ww nikukupiga kelebu ya nguvu sitaki ujinga kbsa hadi nimeandika huku natetemeka kwa hasira .
Ila samahani kwa kukutukana ww ndo umenisababisha
 
Habarini za usiku wanaJf,

Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.

Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio ananiomba msamaha eti ni shetani.

Ananiomba nimsamehe kwakuwa aliwahi kamata SMS za mwanamke kwenye simu yangu akanisamehe. Ananibembeleza kuwa kwa sasa amejifunza nimuoe hatorudia kamwe.

Je, unaweza samehe kosa la usaliti?
Mbona watu woote tunatoa ushauri kuna kitu huyu baharia kaandika kwamba meseji tata kwenye simu yake ishawahi kuonwa na huyu demu wake siku za nyuma. Kama kawaida tulivo wanaume, inamaanisha huyu mleta mada hata yeye ameshawah ku cheat.
Hili mbona hamlizungumziii?
Huenda binti anafanya hivyo kama revenge.
All in all Sisi wanaume bhana Mungu tu anatujua. Mimi naweza niwe na michepuko 10 ila nahakikisha mke wangu nambana hapati mchepuko hata mmoja. Nikijua moto unawaka balaa. Why? As if Sisi kuchepuka imeandikwa tufanye hivo ila sio wenzi wetu
 
Habarini za usiku wanaJf,

Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.

Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio ananiomba msamaha eti ni shetani.

Ananiomba nimsamehe kwakuwa aliwahi kamata SMS za mwanamke kwenye simu yangu akanisamehe. Ananibembeleza kuwa kwa sasa amejifunza nimuoe hatorudia kamwe.

Je, unaweza samehe kosa la usaliti?
Muoe mkuu, samehe 7 X 70.
 
2457376_JamiiForums-621070314.jpg
 
Habarini za usiku wanaJf,

Mchumba wangu alienda Mpanda kipindi cha Corona. Huko mambo yakabadilika ikathibitika pasiposhaka kuwa amenisaliti.

Aliporudi akaenda kwa jamaa mwingine ambapo tena akanisaliti. Nilipokuja kumbana na ushahidi wa picha za majamaa wakiwa naye live bed. Amelia kilio ananiomba msamaha eti ni shetani.

Ananiomba nimsamehe kwakuwa aliwahi kamata SMS za mwanamke kwenye simu yangu akanisamehe. Ananibembeleza kuwa kwa sasa amejifunza nimuoe hatorudia kamwe.

Je, unaweza samehe kosa la usaliti?
Msamehe tu kwan haina makombo iyo mzee.
 
Nyie wadada, mnawafanya nini vijana siku hizi? .
Mkuu wewe ukioa kweli unaweza kuexercise power kama baba wa familia kweli
 
Muoe tu mzee, kama ni hivyo tafuta binti ambaye ni bikra

La sivyo utakuwa hamna ulichofanya, kwa sababu huwezi jua huyo ambaye utampata sasa nae labda aliachwa kwa sababu ya kucheat
 
Back
Top Bottom