MCHUJO WA FBI: Je wafuatao watabahatika?

MCHUJO WA FBI: Je wafuatao watabahatika?

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
668
Reaction score
426
Lowasa

wasira,

Membe

Sitta


Nchemba

Lukuvi

Nkamia
Mwakyembe

Maghufuli

Muhongo

Meck sadiki

Said Mwema


Nchimbi


Mzee Pinda

Makinda

Toa maoni yako na sababu ya kubahatika kuwemo,ongezea wengine wataotoswa an kubahatika
 
Sita, Mwakyembe Na magufuli hawana sababu za kutoswa.

Ila umemsahau makusudi Waziri Mkuu ; Usipotii sheria upigwe Na Askari.

Hapa alikuwa Na maana Askari wapige raia kinyume cha katiba inayokataza raia kupigwa kwa sababu yoyote.

Waziri Mkuu Wa Tanzania mh Pinda aliapa kulinda katiba ya Jamhuri ya Tanzania. Sasa yeye sijui analinda katiba ya wapi! Au ya CCM? Nashangaa hadi sasa watanzania wenye katiba Yao hawajamwajibisha!
 
Nchemba!!? Si nilisikia huwa anashughulikia ulipuaji mabomu !?
 
AH! HAWAFAI, APEWE CHANCE
TUNDULISU
MNYIKA
MBOWE
MDEE
SILINDE
SUGU MOTO CHINI. Hao wapite bila kupingwa.
 
Back
Top Bottom