Elections 2015 Uwendawazimu na ndoto za urais wa Tanzania

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,729
7,600
Leo katika pita pita zangu manispaa ya Singida kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta wazee wa Kiswahili wanabishana kuhusu nani anafaa kuwa raisi Tanzania kupitia CCM wakitaja wafuatao Sitta, Lowassa; Nchemba, Makamba, Membe; Wasira; Magufuli, kigwangala, pinda, Nyalandu, Makamba, Chenge, H.Mwinyi, Rostam', Lukuvi, Migiro, Tibaijuka, Bilali, Ngereja, Kinana., Wengine wakidai Nkapa arudi. Katika hii list kuna afadhali au ni kundi la kifo?
 
Leo katika pita pita zangu manispaa ya singida kwenye kijiwe cha kahawa nimekuta wazee wa kiswahili wanabishana kuhusu nani anafaa kuwa raisi Tanzania kupitia ccm wakitaja wafuatao sitta, ,rowassa ;nchemba,makamba,membe;wasira; magufuri , kigwangara ,pinda,nyalandu,makamba,chenge,h.mwiny i,rostam',lukuvi,migiro,tibaijuka,bilali,ngereja,kinana., Wengine wakidai Nkapa aludi . Katika hii list kuna afadhari au ni kundi la kifo?

Naomba kujua Uraia wako!
 
Wazee wa kahawa wanajadili anything to kill time

usikute uchaguzi ukija hawapigi kura kabisaa...
 
Sikuzote mitazamo ni tofauti sana na uhalisia huwezi kulinganisha au kufananisha vitu zaidi ya viwili ikiwa kimojawapo hukuwahi kushuhudia utendaji wake katika nafasi linganishi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom