Mchubuo wa BEYONCE wazua mjadala...

Mchubuo wa BEYONCE wazua mjadala...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,254
[h=1]So what if Beyoncé's skin colour is looking lighter?[/h]
Beyonc--in-a-promotional--007.jpg


Beyoncé in a promotional image for her new album, 4.
 
Isn't it supposed to show that amepigwa na mwanga usoni? Manake uso mweupe miguu meusi!
 
Isn't it supposed to show that amepigwa na mwanga usoni? Manake uso mweupe miguu meusi!

miguu kavaa lingerie yenye rangi kama unavyoiona............hata nywele ni blonde..................makubwa haya
 
Mbona Mbaya?

kabla ya haya mahangaiko................alikuwa anamvuto mkali......kama Muumba alivyomfinyanga-finyanga..........sasa adhani aweza kuwa bora zaidi ya Muumba kwa kuanza kumkosoa.......................matokeo yake amekuwa kinyago..........
 
Mwanga!!!

huo mwanga ni kiboko sana.....................yaani umeitenganisha kiwiliwili vipande viwili huku maeneo ya usoni hadi kiunoni ambayo beyonce ndiyo hupenda kuyaingiza sokoni kuonekana mithili ya mzungu ikijumuisha hata nywele..........................huo mwanga nao basi umeumbika vilivyo...........nao pia.........................ukweli ni kuwa......................ukiona panafuka moshi ujue bila kigugumizi ya kuwa panaficha moto.........................huyu mwandishi wa hii khabari ni mama mweusi anakiri beyonce kabadilika sana lakini utetezi wake waonyesha alivyo na ushabiki wa kirangi ambao hauna makalio ya kutosha............................lol
 
Mmh Ruta!!!!!!

Worry not about whether God is for you by adding............the word...if...........................God is always for us but the question is are we?
 
nimeipendaa rangi kuazia kiunonii kushukaa chiniiii

kwa mbali inafanana na rangi yake ya asili tatizo ni kuwa hapo rangi hiyo inasaidiwa na lingerie nyeusi mpauko.........
 
huyu beyonce?

labda anataka kuwa wa njano

anahangaika sana................mwishowe atakuwa wa njano kama wagagagigikoko.................au waasia wa mashariki ya mbali...........japanese or chinese counterfeit.........
 
Dunia hii bana!!! Yaani kumbe hata Mastar kama huyu anaamini kuwa uzuri ni sambamba na mweupe? Khaaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom