Mchoro wa Masoud Kipanya leo

Kuna watu wanaombea covid -19 ifanye ziara ya kushtukiza ikulu, ifanye mazumgumzo na mzee baba.
 
Naendelea na vitunguu saumu na malimau therapy.
Maana wageni wanaendelea kutiririka
 
Kwamba corona ndo inamalizia kupasha, karibia inavaa kipensi ili tushuhudie msasambuo wa maana....!

Allah atupe ujasiri na mbinu za kupambana na hili dubwana.
 
Corona ya afrika uhalisia wake upo kwenye hofu tu, watu wamekula sana malimao na mitangawizi mara kupiga nyungu,watu wamezikwa usiku.
Ila sasa hayo yote wameacha et corona imeisha! nyie watu mlikuwa na hofu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ