Mchoro wa fly over ya Tazara itakavyokuwa

Bila shaka hii nayo ni kwa hisani ya NSSF kama daraja la kigamboni halafu mwisho wa siku wanaweka meter yao pande zote za fly over ili kila gari lilipie.
 
nimemuona na aliyekuwa waziri wa hela...kumbe mapicha yapo siku nyingi!!utekelezaji lini sasa!!
 
Labda wakati huo dunia itakuwa ishaangamizwa na kizazi kingine kushika hatamu
Sio hiki cha nyoka
 
Mkuu mi nina mashaka na nafasi ya hapo kama itatosha fly over inachukuanafasi kubwa sana
 
Hiyo picha imeshawekwa kwenye faili na kutupiwa kwenye kabati. Sijui lini itakumbukwa itolewe huko!
 
Mipango ya kuambiwa
Ile DART morogoro road tayari imeshafeli hata haija maliza.
TRL walitoa ushauri ijengwe metro sehemu ile lakini wakasikiliza WB.
Leo tumejengewa road kama inapita train.gari ikiharibika siku hio hakuna safari.yaami akili zetu sio zile za kuchanganya na zetu bali ni zao tu...huu ni msiba
 
Bado mingine itakuja tu, maana sisi tunadanganywa kwa maneno yanayoambatana na picha. Hadi 2015 tutaona michoro mingi mno na kura nyingi tutawapigia kwa picha tulizooneshwa!
 
nikiikimbuka ile picha ya video ya mji wa kigamboni na hakuna utekelezaji wowote nabaki kusikitika tu
NNasikia mwekezaji kabadili mawazo sasa viongozi wetu wanaona noma kuisema
 
Maji yalijaa Ruvu siku moja ikawa taabu. Halafu mimbulula inafikiria Tazara. Iko siku Dar watapata janga njaa.
 
Kwani fly over ni ya safari kabisa au inakua kwenye makutano tu?
 
wanasema ujenzi utaanza wakati wowote kama vile tumepigwa changa la macho,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…