Mchora katuni awatabiria Chadema mabaya.

Mchora katuni awatabiria Chadema mabaya.

Acha tu ife, alafu ije ifufuke tena maana CHADEMA ya sasa haina wazalendo.
 
Shauri yake , mzee wa gombe aliitabiria kifo Chadema matokeo yake kafa yeye.
 
Ni maoni yake binafsi, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni.
 
Huo mkono unaotoa R.I.P umevaa shati la ccm..!
 
Wanamfurahisha mfalme[emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom