Nimepita tu!
Habari ya hapa jamani.
ETIIII ni kweli jina lako linahusiana na huyo fan wa liverpool?ha ha ha ha ha liverpool
Huyo wa liverpool nadhani kama ana undugu na wachagga...
ETIIII ni kweli jina lako linahusiana na huyo fan wa liverpool?
Shikamoo miss chagga! zimebaki siku 13:israel:umeanza lini utani na wachaga faini yako ni kila ukinikuta sema shikamoo miss chagga kwa wiki mbili .. hapo nitakusamehe
Huyo wa liverpool nadhani kama ana undugu na wachagga...
Shikamoo miss chagga! zimebaki siku 13:israel:
Sio wewe ni jina lako, wewe nakuheshimu sana mkuu...Au babu alicheza nje ya ndoa? hebu muulize vaislay akupe mawasiliano ya huyo mdada...hapana mkuu tena nakuona hapo juu umetuchokoza sasa unanitafuta ugomvi kama huna mbio usinitafute
Hahahaaa..another manka, shikamoo manka.We acha izo,
Sio wewe ni jina lako, wewe nakuheshimu sana mkuu...Au babu alicheza nje ya ndoa? hebu muulize vaislay akupe mawasiliano ya huyo mdada...
Hahahaaa..another manka, shikamoo manka.