mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,540 Reaction score 138,496 May 17, 2015 #1 Anaanza kupiga vyombo Attachments 20150517_002028.jpg 728.4 KB · Views: 708
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,694 May 17, 2015 #2 Kwa watu wengine kwao huo ndio ujanja...
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,154 Reaction score 40,944 May 17, 2015 #3 Hizo ni dalili za taifa la watu waliokata tamaa...na hizo ndio dalili za mwanzo za anguko la taifa lisilojali wananchi wake..
Hizo ni dalili za taifa la watu waliokata tamaa...na hizo ndio dalili za mwanzo za anguko la taifa lisilojali wananchi wake..
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 17, 2015 #4 anafungua tumbo
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 May 17, 2015 #5 Akitoka hapo anakamata bodaboda tayari kwa kubeba abiria,kuna usalama hapo?
Lancashire JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 14,081 Reaction score 10,455 May 17, 2015 #6 Nguvukazi ya taifa inapoamka na kiroba cha pombekali.
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 May 17, 2015 #7 Columbus said: Akitoka hapo anakamata bodaboda tayari kwa kubeba abiria,kuna usalama hapo? Click to expand... sio bodaboda tu sema anaingia hospitali kutibu watu.....
Columbus said: Akitoka hapo anakamata bodaboda tayari kwa kubeba abiria,kuna usalama hapo? Click to expand... sio bodaboda tu sema anaingia hospitali kutibu watu.....
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 May 17, 2015 #8 Wenyewe wanaita kutoa lock
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 May 17, 2015 #9 Hatareee...