Mchiriku unyamwezini

Mchiriku unyamwezini

byeyombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
4,242
Reaction score
5,501
Hivi hawa jagwa music aka dege la jeshi mbona hawapati promo nyumbani???
 
Nikimtazama mwanangu Pili.... Dunia wapo binadamu wachache. Mambo ya Pwani haya. Hawa jamaa hata kama nina hasira huwa zinaisha. watani zangu Wazaramo wanachekesha mno.
 
hali Yangu masikin sijui ntapata lini ntakapo kwenda kaburin mwanangu atarithi niniiiii.....daaah proud kuwa wa mwananyamala aisee watoto wa kwa kopaaa hawa baba dullah dariki moko ....kina speed boti
 
wazaramo mm wajomba zangu hawa huwa wananipa miziku balaaa kama magoma ya nsense marunde ya nyumbani kule usungu
 
hali Yangu masikin sijui ntapata lini ntakapo kwenda kaburin mwanangu atarithi niniiiii.....daaah proud kuwa wa mwananyamala aisee watoto wa kwa kopaaa hawa baba dullah dariki moko ....kina speed boti
Ondoka ukose raaaha
 
Back
Top Bottom