Wanaume Mazezeta sana sisi. Ukishafika kitandani, kila kitu kinabaki juu yako maana umeshaweza kuvua.
Sasa ukishindwa kuli-control, Buzi litakata kamba. Ukishampa mautundu hadi akapagawa, haki ya nani atakupenda hivyohivyo na Uflat Screen wako. Kama nyumbani ni Mzembe, basi hata kama una Neema za Allah, bado utakuja kushangaa Bwana wako kampenda Shoga/Dume ingawa lenyewe ndiyo Curved screen maana siyo flat tena na UNYOYA juu ya paja, ahhhh..... Men we are ugly 🙁 Sijui nyie Wanawake mnaona nini.... Hormons tu zinawasumbua ...