hivi hizi line zinauwezo wa kuitwa kwa wakati mmoja? ie tigo na voda zote ziite kwa wakati mmoja, ama wakati unaongea na line 3, line 2 iite.
Zinaweza kuita kwa wakati mmoja.