Mchina na demu wa kibongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchina na demu wa kibongo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Simba Mkali, Jul 18, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  MCHINA mmoja alidaka demu mmoja wa Kibongo akaingia naye katika gesti alipofikia na kuanza kula vyombo, kila Mchina alipokuwa akipiga bao moja, alikuwa akishuka chini ya kitanda na kupiga push-up, mara anaingia uvunguni na kutokea upande wa pili, basi Mchina akawa akifanya hivyo mpaka alipofikia bao la 9, bao la kumi na yule demu wa Kibongo naye akashuka na kuanza kupiga push-up, alipochungulia uvunguni ili aingie na kutokea upande wa pili aliwaona Wachina kama 9 hivi wakiwa wamelala. Demu yule akazimia palepale.
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hivi hampitagi huku ndani kabla ya kupost??......
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sio yako umekopi na ku paste,,,,, tena humu humu..........
   
 4. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kwani huwa mnakuwaga na zenu, sema nineisikia sehemu na nikachelewa kuileta JF siwezi kutoa kitu humu nikakirudisha humu, sahamani kwa usumbufu.
   
 5. L

  Luluka JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ucjali mwaya!hata kama ilishapostiwa wengine ambao hawajawahi kupita humu wataisoma na wengine pia tunapenda vya marudio!
   
 6. KML

  KML JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mbona mi sijaiona
   
 7. C

  Cartoons Senior Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hata kama ka-copy na ku-paste,mi nilikuwa sijawahi kuiona.hivyo yeye ndiye wa kwanza kunijulisha.
  km zpo nyingne za zamani zirudishen jamvin tujikumbushe.
   
Loading...