mchina kazini!!!!!!

Beso

JF-Expert Member
May 6, 2011
216
59
Woman-Breasts-2.jpg Woman-Breasts-4.jpg Woman-Breasts-11.jpg
 
Huyo siyo mchina tena ni mpluto yani wa sayari nyingine ndo magiant hivo
 
tatizo ni kwamba hayana vipimo kwamba unataka likue hadi kiwango fulani ndo maana binadamu anageuka na kuonekana kituko. Maziwa ya binadamu yamefunika tumbo hadi maeneo ya chini ya kitovu!!!! Mungu na atusamehe kwani tunamkufuru kwa makusudi
 
Hivi kuna aliyethibitisha kitaalamu kwamba watu hawa wametumia dawa za kichina na sio ulemavu wa viungo kama ulivyo ulemavu mwingine? Kama imethibitika basi tuendelee kuwakejeli maana wamejitakia. Lakini kama ni ulemavu wa asili basi Mungu atusamehe maana tumeisahau ile methali isemayo hujafa hujaumbika.
 
Back
Top Bottom