Mchina ana akili za peke yake

Afadhari hivyo kuliko kuchukua simba wetu
Watalii wamemaindi kinoma πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ .ila mchinaa nimemvulia kofia.yaani huyo mbwa kama asingekuwa ana bweka hauwezi kumtofautisha na simba.
 
Hii ilileta fedheha kubwa sana kwa mabosi wa zoo, huyo ni mbwa ajulikanae kama Mastiff ni mkubwa sana.
 
Watalii wamemaindi kinoma πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ .ila mchinaa nimemvulia kofia.yaani huyo mbwa kama asingekuwa ana bweka hauwezi kumtofautisha na simba.
Kumbuka mbwa karibu wote wana makengeza simba hana hivyo wangemtambua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…