Mchina ajinyonga, ni baada ya kuboronga katika kazi Morogoro

Mchina ajinyonga, ni baada ya kuboronga katika kazi Morogoro

Mimi niko ifakara mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hosipitali ya St. Francis iko hapahapa Ifakara sio kilakala kama mtoa maada alivyosema, aidha mkalimani aliye toa tafsiri ya awali ya ujumbe alio andika marehemu anasema alijinyonga sababu ya ugumu wa maisha na siamini kuwa sababu ni kuboronga kazi kwani hakuna daraja ambalo lilishajengwa bali ni makaravati tu ambayo bado ujenzi unaendelea na marehemu alikuwa ni mfanyakazi wa ngazi ya chini na hawajibiki na kuborongwa kwa kazi.
Ok. Umesomeka Mkuu, huyu mleta mada lazima atakuwa ni mwanachama wa intarahamwe maana ndio wana hiyo tabia ya kugeuza geuza ukweli kuwa uongo
 
Mchina amejinyonga kisa kutengwa na wenzake baada ya daraja walilokuwa wakijenga kuanguka nguzo huko morogoro.ni mara chache kuona matukio kama haya kwa wachina.Ila hivyo mkandarasi msimamizi wa ujenzi
 
hueleweki
 
Back
Top Bottom