pale kariakoo palifanyika ukarabatii wa mitaro ya maji taka ya chini ya ardhi, katika ukarabati ule yalitumika mabilioni ya shilingi nandio ukarabati mmbovu kuliko yote iliyowahi kutokea, hapa nchini lakini hadi leo wasimamizi wa huo mradi wanaendelea kula vijisenti vyao.
babo Niliwahi kumzuia project manager wa kichina kuniletea wachina wasiokuwa na vyeti akiwemo yeye mwenyewe. Unamweleza akuletee vyeti vya kuonesha qualification za wafanyakazi wake ili uwaruhusu kufanya kazi kama mkataba unavyosema yeye anakuletea barua za kampuni kuwa hao ni watu wao wenye ujuzi na wamethibitishwa na kampuni zao.
Alisema kwa sasa mwili wa marehemu huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya St Francis iliyopo Kilakala, Morogoro.
Hiyo Hospitali ipo mtaa upi Kilakala?! Kilakala niijuayo haina hospitali sanasana Dispensary ya Tuwaenzi wazee na wala haina mochuari, Huu ni upotoshaji, hivi inawagharimu kiasi gani kuhakiki habari kabla hamjaandika gazetini?
babo ni vizuri kusema ukweli. Taarifa iliyotolewa jana na kamanda wa polisi ni kuwa mchina huyo alijinyonga. Ujumbe alioacha ambao umeandikwa kwa kichina na tafsiri ya haraka isiyo rasmi kama alivosema kamanda ni kuwa "mchina" alijinyonga kwasababu ya ugumu wa maisha. Sasa suala la kuburunda kazi umelitoa wapi? Si vizuri kufanya upotoshaji maana wapo wengine ambao hawakuona na wanaweza kukuamini wewe kumbe sivyo.
Rai yangu, kumekuwa na mfumo wa kuleta wachina kufanya kazi huku kwetu na wakati huo pesa malipo yao wanalipwa kwenye benki zao huko huko kwao. Hili linawafanya wakati mwingine waishi maisha magumu ambayo yanawafanya wawe na stress. Huku wanapewa pesa kidogo ya kujikimu na kuhifadhiwa kwenye makambi (Sites). Ingawa kwa sera ya kitaifa ni nzuri maana wanahakikisha mzunguko wa hela unabaki china. Lakini kwa upande wa nchi yetu, hili linakosesha ajira nyingi kwa wazawa ambao wangeweza kufanya kazi zinazofanywa na hao wachina au wangefungua biashara maana mzunguko wa hela ungeongezeka. Wizara ya kazi iwemakini hasa vibali wanavyotoa kwa wafanyakazi wa kigeni. Wengi wao hawana ujuzi bali inakuwa kama sehemu ya kutafutiana ajira kwa wachina wenzao. Ukiangalia reports za EIA za miradi hiyo wanasema positive effects ni ajira kwa wazawa ama wa maeneo inakofanyika miradi au watanzania wengine. Lakini wakati wa utekelezaji hata ile kazi amabayo ingefanywa na mzawa anawekwa mchina 'SHAME TO MY POOR COUNTRY" Mamlaka husika haziwezi kusimamia hilo! Wahusika wamekazana kupokea rushwa toka kwao ili kuwapatia permits. Niliwahi kumzuia project manager wa kichina kuniletea wachina wasiokuwa na vyeti akiwemo yeye mwenyewe. Unamweleza akuletee vyeti vya kuonesha qualification za wafanyakazi wake ili uwaruhusu kufanya kazi kama mkataba unavyosema yeye anakuletea barua za kampuni kuwa hao ni watu wao wenye ujuzi na wamethibitishwa na kampuni zao.
Mkuu nadhani alitaka kusema St Francis IfakaraAlisema kwa sasa mwili wa marehemu huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya St Francis iliyopo Kilakala, Morogoro.
Hiyo Hospitali ipo mtaa upi Kilakala?! Kilakala niijuayo haina hospitali sanasana Dispensary ya Tuwaenzi wazee na wala haina mochuari, Huu ni upotoshaji, hivi inawagharimu kiasi gani kuhakiki habari kabla hamjaandika gazetini?
Acha uongo wewe, weka hiyo tafsiri ya haraka, ikiwezekana barua yenyewe, acha uongo, unaonekana wewe ni mfupi na mnafiki
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
babo ni vizuri kusema ukweli. Taarifa iliyotolewa jana na kamanda wa polisi ni kuwa mchina huyo alijinyonga. Ujumbe alioacha ambao umeandikwa kwa kichina na tafsiri ya haraka isiyo rasmi kama alivosema kamanda ni kuwa "mchina" alijinyonga kwasababu ya ugumu wa maisha.
Sasa suala la kuburunda kazi umelitoa wapi? Si vizuri kufanya upotoshaji maana wapo wengine ambao hawakuona na wanaweza kukuamini wewe kumbe sivyo.
Rai yangu, kumekuwa na mfumo wa kuleta wachina kufanya kazi huku kwetu na wakati huo pesa malipo yao wanalipwa kwenye benki zao huko huko kwao. Hili linawafanya wakati mwingine waishi maisha magumu ambayo yanawafanya wawe na stress. Huku wanapewa pesa kidogo ya kujikimu na kuhifadhiwa kwenye makambi (Sites). Ingawa kwa sera ya kitaifa ni nzuri maana wanahakikisha mzunguko wa hela unabaki china. Lakini kwa upande wa nchi yetu, hili linakosesha ajira nyingi kwa wazawa ambao wangeweza kufanya kazi zinazofanywa na hao wachina au wangefungua biashara maana mzunguko wa hela ungeongezeka. Wizara ya kazi iwemakini hasa vibali wanavyotoa kwa wafanyakazi wa kigeni. Wengi wao hawana ujuzi bali inakuwa kama sehemu ya kutafutiana ajira kwa wachina wenzao. Ukiangalia reports za EIA za miradi hiyo wanasema positive effects ni ajira kwa wazawa ama wa maeneo inakofanyika miradi au watanzania wengine. Lakini wakati wa utekelezaji hata ile kazi amabayo ingefanywa na mzawa anawekwa mchina 'SHAME TO MY POOR COUNTRY" Mamlaka husika haziwezi kusimamia hilo! Wahusika wamekazana kupokea rushwa toka kwao ili kuwapatia permits. Niliwahi kumzuia project manager wa kichina kuniletea wachina wasiokuwa na vyeti akiwemo yeye mwenyewe. Unamweleza akuletee vyeti vya kuonesha qualification za wafanyakazi wake ili uwaruhusu kufanya kazi kama mkataba unavyosema yeye anakuletea barua za kampuni kuwa hao ni watu wao wenye ujuzi na wamethibitishwa na kampuni zao.
Hospitali ya st francis haipo kilakala mbona!
Walete hicho kikaratasi niwatafsirie..
hawa viongozi wetu wangeiga wanapokosea waji2ndike. Tanzania ingekuwa kama hongkong china.
Hakuwa na option maana hata angerudi kwao angenyongwa tu kama wale waliojenga uwanja wa taifa.
Acha uongo wewe, weka hiyo tafsiri ya haraka, ikiwezekana barua yenyewe, acha uongo, unaonekana wewe ni mfupi na mnafiki
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wewe mawazo yako haupimi, hujui kama saivi tungekua na viongozi wachache sana