acheni upimbi,hawa magamba wanatufanya wote mazumbukuku? hao NSSF ni tool yao ya propaganda kwani daraja la kigamboni wameshajenga? Kila wakati w uchaguzi wanasema ujenzi unaanza mpaka leo tunavuka na panton na naamini mpaka J K ataondoka atamwachia mtaji huo atakeyegombea mwingine.Mkuu barabara za juu (fly over ziko wapi?) nayo ni ahadi ya uchaguzi na mara baada ya uchaguzi waliitwa na mabalozi na picha zikapigwa kuwa ujenzi wake unaanza july,sidhani hata tofali moja limefyatuliwa nayo inabaki ni mradi wa kampeni zijazo kweli wabongo ni wadanganyika na tunabaki na amani na mshikamano wetui ndiyo ujinga wetu