Katika mchezo wa Hispania fahali anauawa uwanjani. Mchezo unafanywa katika uwanja wa pekee unaoitwa Plaza de Toros. Wale wanoshindana na ng'ombe dume wanaitwa "torero"; mkuu wao atakayemwua kwa pigo la upanga wake ni "matador". Matador anatangulia kucheza na fahali kwa kumkasirisha kwa kitambaa chekundu na kutoroka akishambuliwa. Wasaidizi wake wanapita kwa farasi na kumdunga fahali kwa mikuki midogo kwa kusudi la kumdhoofisha. Mwishoni ng'ombe anauawa na matador kwa upanga. Muda wa mchezo ni kama dakika 20 kwa kila mnyama.
Ilhali Wahispania wanaua ng'ombe wa dume Wareno wanawachezea tu hadi kuwaangusha chini bila kuwaua.
Lengo na dhumuni la hadithi hii ni nimeshaanza kumfananiza huyu Rais mwema na mzuri na yule ng'ombe anaetumiwa katika mchezo huu, mchezo huwa mzuri pale torero wanapoweza kumkasirisha na kumzibiti yule ng'ombe, lakini wakimkasirisha na kushindwa kumzibiti baada ya furaha huwa ni misiba,
Kwa kinachoonekana Sasa ni torero wameshaanza kushindwa na fahali,
Fahali tayari ameshaaza kuwashambulia torero na tayari ameshaingia katika jukwaa la watazamaji (UDOM) na sasa anatafuta njia ya kaingia mitaani.