Mambo yanabadirika ndgu huenda miaka ile kabla yako michezo haikua hiyo.Huoni ule uafrika wetu unapotea kwa kasi sana?
Junya ni broiler hawezi toka njeHuenda hawachezi hiyo nao wana michezo yao mipya.
Ila kina junya wao ni simu na playstation na huwez wabadilisha dad na Mom eti wamruhusu junya akacheze nje si rahisi.
Siku iz watoto wana penda smart phone balaaa ..Nina siku ya 4 hapa A-town almaarufu arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation...
Bila hii michezo inatutengenezea vijana wa jamhuri ya vizazi vya hovyo mkuu hii michezo ilitufanya tusiishi kizembezembe km watoto wa sa hvNina siku ya 4 hapa A-town almaarufu arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation...
Enzi za makuzi yetu mtu akikuita JUNYA basi anatafuta vita!Junya ni broiler hawezi toka nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda hawachezi hiyo nao wana michezo yao mipya.
Ila kina junya wao ni simu na playstation na huwez wabadilisha dad na Mom eti wamruhusu junya akacheze nje si rahisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliipata fresh eeeh. Hakutoa kucha?nakumbuka kombolela baada kuweka mpira nikaweka jiwe ilikuwa usiku dah niliemtegea hakutokea akaja mdogo wangu dah we acha tu
Asee[emoji23]nakumbuka kombolela baada kuweka mpira nikaweka jiwe ilikuwa usiku dah niliemtegea hakutokea akaja mdogo wangu dah we acha tu
Acha ipoteetu wengine ndy michezo iliyo tufunza uhuniNina siku ya 4 hapa A-town almaarufu arachuga ila katika zunguka zunguka yangu mitaani sioni watoto wakicheza michezo hiyo zaidi ya playstation. Jamani wazazi nitoe wito au rai kwenu huu mchezo ni muhimu sana kwa jamii yetu, acheni uzungu wa kuwapa watoto michezo ya playstation na kwenye simu.
Maana sisi ndio imetukuza na jana nimemuona mzazi akimchapa mwanawe kisa ameenda kucheza ukuti ukuti wa nani wa nani, kagongwa na gari, tumpeleke mnazi mmoja...
Leo nitaandaa mchezo wa kula mbakishie baba wale wa Arusha mkuje tuungane kuucheza ili michezo yetu ya kiafrika isipotee jamani! Na pia msiwafungie huko geti kali mnawaaribu kisaikolojia.