Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

Unasemaaa?
Acha masikhara mkuu mbona cheap sana,kwahiyo nikiwa na 1m ni full bata!
Kwani pesa yao thamani yake ipoje ukilinganisha na madafu yetu!?
Nchi nyingi hizi zilizotuzunguka ni cheap kwa bus.
1M unaweza enjoy vizuri tu.
1$ = RWF 1,190.
Pesa za kiafrika hizi ni za kawaida tu.
 
Acha tutafute maokoto,nauli inaweza gharimu shs ngapi?
Inategemea unatokea wapi? Kwa wale wa Mikoa ya kanda ya ziwa itakuwa rahisi sana siyo zaidi ya 40,000. Kwa mfano wa Kahama ni kuchukua gari za mpaka Rusumo na ukifika hapo boarder unachukua za Rusumo mpaka Kigali! Mwendo wa saa kama 8 hivi!
 
Nipo Tanganyika hapa Katavi
 
Nipo Tanganyika hapa Katavi
Katavi/Mpanda itabidi uondoke tarehe 14. Hii itakusaidia kuwa na uhuru zaidi sina uhakika kama kuna bus la Mpanda to Bukoba, kama lipo unapanda hilo mpaka Rusahunga. Ukifika hapo unapanda hiace za Rusumo. Then unaweza kuamua kulala hapo Boarder ili kesho yake tarehe 15 upande mchomoko za Rusumo to Kigali kama 200km. Hapo ukiwa na kitu kama 300k unaenda na kurudi fresh kabisa!
 
Itabidi tarehe 14 niwe Kahama,Kuna kazi ya Chama nitakuwa naifanya Shinyanga,
Kuanzia tarehe 13 nitakuwa free,hivyo nitawasubiria wa Dar tuende wote
 
Mwaka jana huo uchovu iliamua kuachana nao kabisa, watu wakawa wanapigwa mbele ya mashabiki wao! Unakumbuka mechi ya USM Algiers? Mziki ulipigwa pale pale nyumbani kwao pamoja na kuwasha mioto yao!
Aahaaaaa
 
Itabidi tarehe 10 niwe Kahama,Kuna kazi ya Chama nitakuwa naifanya Shinyanga,
Kuanzia tarehe 13 nitakuwa free,hivyo nitawasubiria wa Dar tuende wote
Hapo umeua mkuu! Hesabu mechi umeiona! Ratiba iko upande wako kabisa hiyo!
 
Bilashaka uwanja utajaa wana Yanga... Tz tuna ushabiki sana.Sacko aliweza kuchukua tuzo kipindi kile,kwasababu ya huuhuu ushabiki.Sidhani kama atakuja kuchukua tena.
 
Back
Top Bottom