Mbona karibia kila comment umeandika sijui umetuma AI. Umetumia tumia PL gani ku develop ilo game?, AI umetumia library gani?, model iyo ya sijui AI ume code from scratch?. data umetoa wapi ka kutrain iyo model? Accuracy yake ni percentage ngapi?
Na mashaka na iyo sijui AI umeitumia kwenye ilo gama. Hmna cha AI wala nini lbd lumetumia logic condition ku code ndo unaziita AI (naomba lnk ya git nika one algorithm za iyo model)