Sidhani kama unajua kilichowapata M23 kule DRC enzi za JK akiwa Presdaa; ungelijua hilo ungekuja na kauli tofauti na uliyoitoa hapo juu.Ka nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Rejea kauli ya Mkuu wa kamandi ya Marekani Afrika(AFRICOM) juu ya uwezo wa Tanzania katika masuala ya ulinzi na usalama.Kagame mwenyewe anajua mziki wa JWTZKwani Tanzania iliruhusiwa kwenda cabo del gado? Majeshi yetu yalikuwa yanalinda mpaka wake tu.. hayakupewa kibali cha kuingia
https://mg.co.za/africa/2020-10-21-the-natural-resource-curse-in-cabo-delgado/Zitto Jrgeopolitical interests za Rwanda huku Cabo Delgado ni zipi na uwepo wa Rwanda una athari gani kwa usalama wa Tanzania katika ukanda huu ?
Vipi usalama wa Tanzania ukanda huu itakuwaje kwa uwepo wa Rwanda ?https://mg.co.za/africa/2020-10-21-the-natural-resource-curse-in-cabo-delgado/
.....Oil deposits, liquefied natural gas fields and gemstones, projected in 2010 to be worth billions......
Je hivyo vikosi havitaanza kupata mafunzo kwa siri kutoka kwa hao vijana wa slim vianze kusumbua Tanzania hasa ukizingatiwa gas yetu Mtwara ?That should be watched very closely tough the focus might may be mainly on........
Ukiangalia diplomatic relations yetu na Rwanda ni ya kutilia shaka sana hasa ukizingatia uwepo wa vikosi vyetu kule Congo ni mwiba mkali kwa waasi wanaoungwa mkono na Rwanda huko, pamoja na mgogoro wa kidiplomasia uliotokea kipindi cha JK ?That should be watched very closely tough the focus might may be mainly on........
Ukiangalia diplomatic relations yetu na Rwanda ni ya kutilia shaka sana hasa ukizingatia uwepo wa vikosi vyetu kule Congo ni mwiba mkali kwa waasi wanaoungwa mkono na Rwanda huko, pamoja na mgogoro wa kidiplomasia uliotokea kipindi cha JK ?
Hatuoni kuwa yawezekana uwepo wao huku kwetu kutakuwa threat kubwa kuliko hao majambazi wa madevu na mapanjabi ?
bro huijui Tz yaNyerere weweRwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Tuache blah blah tulipongeze jeshi la rwanda kwa kazi nzuri waliyoifanya hongera sana even UN can rent special forces from rwanda for now good works god bless them pia usalama wetu kusini utaimarika,inanistaajabisha sana jinsi jamaa walivyokuwa wanawahenyesha askari wa msumbiji.
Wamefanyaje mpaka umewasifia..hebu nitajie kitu kimoja. Au unaleta story za utopolo?Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Rwanda hii hii ambayo Kikwete aliwavuruga wiki 2 tu mpaka Kagame na M23 yake wakaanza kulia ndo ya kuipiga Tanzania? Rwanda hii ambayo wanajeshi wake wanakuja kufundishwa hapa Monduli ndo waipige Tz? Utakuwa na matatizo weweI'm telling! Kwa Sasa Rwanda military capability yake anaijua Congo anavyochakazwaga kule Goma na kuibiwa madini akiwa kasimama mchana kweupe na hakuna kitu atafanya.
Sa kwa kipi hapo ulicho kiona cha kutishaa....?Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Mimi nauliza wale jamaa wakianza kuwatrain hao majambazi wa madevu kuja kufanya uhalifu tz haitaleta shida ?Rwanda Wanaweza wakaifanya nini Tz wkt hayo majeshi ya Rwanda hapo Msumbiji yalipo yamezungukwa na majeshi ya Sadc?Rwanda imeshapigana na Zimbabwe,Angola,Namibia huko Congo kwa hio Tz sio ya kwanza kupigana na Rwanda.
Kuna watu wana akili fupi nyie.Kha! Yani wakijadili masuala ya vita wanayajadili kama mechi za Yanga na Simba. Ni wazi wana upeo mdogo sana wa ulimwengu na yaliyomo. Ukijadili vita kati ya nchi za Kiafrika, sahau suala la ujuzi. Eti Tz bora kuliko Kenya, au Kenya bora kuliko Uganda ama Uganda bora kuliko Malawi ama kinyume chake. Asilimia 9.99999ya nchi zetu hizi zinategemea misaada. Hata mkisema mnanunua sialaha kwa pesa zenu, utakachonunua Mtz ndicho atanunua Mganda. Ukimsikia mmoja wenu ana zana kali basi ujue Biden au mkubwa kawekeza hapo kwa maslahi yao. Kushinda vita dhidi ya nchi nyingine kutategemea kina Urusi, Marekani, China, Ufaransa n.k. wapo wapi. So, mnapofikia hatua hadi ya kutukanana eti nchi X ni kali kivita dhidi ya nchiY mnaonekana mapunguani. Watu hamtengenezi silaha zozote, labda risasi tu tena chini ya bajeti inayofadhiliwa na watemi. Wataalamu wenu wanasomeshwa na haohao. Hivi tunaongea ukute kuna wanajeshi wa Kenya, Uganda, Tz na Rwanda wapo wanakula kozi chuo kimoja pale Israel. Kesho utasikia wamarekani wana mazoezi ya pamoja na jeshi la Kenya, mwakani utasikia kitu kama hicho Rwanda n.k. Sasa huo ukali kijeshi mkazidiana mnautoa wapi?
Hoja yangu ni kuwa tunafananafanana tu. Hatuna lolote la maana. Vita zetu hutegemea sana kina Marekani. Mtashinda tu kama mmedhaminiwa na wakubwa zaidi.
Acheni uzushi, Afrika bado sana