Bro ukubwa wa nchi haupimwi kwa nguvu ya kijeshi, kama ukubwa wa nchi unapimwa kwa nguvu ya kijeshi basi nendeni mkaiambie jwtz ikavamie Israel yenye watu kama million 9,kwa logic nyepes muone vile mtakapo chapika, kama kigezo ni ukubwa wa nchi ndio uwezo wa kijeshi bas uingereza isingetawara dunia, kama ukubwa wa nchi ni kigezo cha uimara kijeshi bas China ingeivamia haraka zaid Taiwan....watanzania Tunaishi kwa hisia ndio maana tunaonekana wendawazimu na ovyo kifikra