Embu acha kuongea kauli za kulishwa we we.Kwa hiyo kwa uelewa wako mkubwa jeshi letu ndio liliwakimbiza m23? Hakuna nchi nyingine?hakuna maombi ya umoja wa mataifa kuziomba nchi fulni ziungane ziwany'anganye silaha? Hivi unajua kua hao m23 inasemekana Kagame alikua anawapa suport kimya kimya ila yeye akawa anakan hizo shutma? Yani mmesha mfanya superstar kwa kumuongelea sanaaa! Its means mnamuogopa sio? Kama jamaa anafanyia nchi yake makubwa ndani myaka 27 tu,sisi tupo tu myaka almost inakua 70 baada ya uhuru ila bado maneno tu!. Mungu kasema;
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people. Yeye anachapa kazi sisi tunaongea.
Na hapo ndipo walipofeli, kwasababu wanaona kama wamemaliza kazi wakati wameingia kwenye miji wamekuta miji mitupu magaidi wamekimbia, na kuondoka kwenye miji hiyo wengine wamejichanganya na raia wa kawaida wakisoma upepo kwanza, wakati Rwanda wakishangiria ushindi kuna kitu kinakuja tuendelee kusubiri. Magaidi wameamua kujificha na kukaa kimya wakiusoma mchezo. Guerilla warfare haiwezi kumalizika kijinga hivyo!La kujiuliza je hawa magaidi wamekimbiia wapi!?
Haiwezekani kuwa wmejichanganya uraiani kuwazubaisha wanamgambo na kujipanga upya!?
Duuh!Rwanda huenda ikawa ndio nchi yenye jeshi Bora la ardhini katika ukanda wote wa sadc.Kitu ambacho sadc imeshindwa kufanya miaka na miaka,Rwanda imefanya kwa wiki chache!
inaonyesha ni shabiki mzuri wa Rwanda kwa jinsi unavyoongea.Nilishawahi kuishi Rwanda anijua military capability yao.
vita ya Msumbiji kiundani zaidi inahusu watu wa eneo hilo kusahaulika kiuchumi magaidi wameingilia Kati kujionyesha wanaweza kutatua matatizo yao .Rwanda huenda ikawa ndio nchi yenye jeshi Bora la ardhini katika ukanda wote wa sadc.Kitu ambacho sadc imeshindwa kufanya miaka na miaka,Rwanda imefanya kwa wiki chache!
Na hapo ndipo walipofeli, kwasababu wanaona kama wamemaliza kazi wakati wameingia kwenye miji wamekuta miji mitupu magaidi wamekimbia, na kuondoka kwenye miji hiyo wengine wamejichanganya na raia wa kawaida wakisoma upepo kwanza, wakati Rwanda wakishangiria ushindi kuna kitu kinakuja tuendelee kusubiri. Magaidi wameamua kujificha na kukaa kimya wakiusoma mchezo. Guerilla warfare haiwezi kumalizika kijinga hivyo!
Duh bangi hiziRwanda huenda ikawa ndio nchi yenye jeshi Bora la ardhini katika ukanda wote wa sadc.Kitu ambacho sadc imeshindwa kufanya miaka na miaka,Rwanda imefanya kwa wiki chache!
ndo ujuage kwann kongo mtanange hauishagiKa nchi kenye ukubwa wa kariakoo kutoka mashariki mwa Africa leo kameenda kuzima jaribio la kigaidi lililoitesa Mozambique na SADC nzima?
Afu tunataka kusema Tanzania tunaweza kuwahimili Rwanda kijeshi... Mnatania nyie.
Hii ndo point muhimu sana.Kukimbia ni jambo moja, swali ni je, wameenda wapi?.
😂😂😂Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.
Sikuungi mkono ,unacho kufikiri hata Rwanda wenyewe hawafikiriiIngekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Nadhani ndio maana na mkuu wa mkoa wa Mtwara alitolewa mambo ya nje akaletwa huko.Kuna kitu nimekigundua kijasusi
Hili kuonekana tanzania ikiingia watasambalitaka kurudi huku kama kibiti.ndio maana wametumia kijografia kutuma rwanda kusambaratisha.
Wakirudi tanzania na mipaka ya nchi zinazozunguka mingine watafinywa kitaalamu zaidi bira kutumia nguvu sana
[emoji122][emoji122][emoji846]big up mkuu hivi hawajui ukubwa wa hili li nchi jmnEmbu acha kuongea kauli za kulishwa we we.
Uache kukaa na watoto wenzako kudanganyana nao ktk maskani za matofali.
Kagame ana kipi kikubwa kafanya mpk useme ndani ya miaka 27 kafanya makubwa kuliko kiongozi wa Tz au kuliko Tz??
Au ushasahau km bado kagame ni kiongozi mwenye ukabila anayependelea kabila lake kuliko yaliyobakia??
Au unadanganywa kwa zile laptop chache zilizogaiwa kwa wanafunzi baadhi huko Rwanda???
Rwanda ina nini cha maana???
Tanzania literacy rate kubwa,ina hospitali ya moyo yapili Afrika baada ya South Afrika,ina reli yenye mtandao mkubwa Afrika mashariki ,ina vituo vya afya toshelezi,ina GDP kubwa ambayo Rwanda anaingia zaidi ya mara tano.
Embu acha kujidanganya kuwa eti kagame kiongozi mzuri futa huo uzwazwa.
RIPOTI MAALUM ZINAZUILIWA ZISITOKE NJE YA RWANDA.
NADHANI KIPINDI KILE CHA CORONA UNGEONA HALI HALISI YA RWANDA WENGI WAO HAWAIJUI KEKI YA TAIFA.
Yaani Rwanda warisk maisha ya watoto wao kupigania maslahi ya ufaransa ?
Ingekuwa hivyo kanchi Kama uingereza kasinge itawala Dunia... It's not about quantity.. it's about quality.
Rwanda wamenunua air defense system hivi karibu toka China zenye uwezo wa kupangua hivyo vi RPC Kama maji.
Tanzania hatuna any smart defense system Hadi sasa tunalindwa ba Mungu na maombi. Rwanda wakiamua kuanzisha Vita na sisi kamasi litatutoka coz expertise waliyonayo na Quality Military artillery zitatufanya tutubu na tuanze kuongea kinyarwanda. Amakuru yawe!? Mwidiwe!?
Mungu tunusuru! [emoji848]
Na hapo ndipo walipofeli, kwasababu wanaona kama wamemaliza kazi wakati wameingia kwenye miji wamekuta miji mitupu magaidi wamekimbia, na kuondoka kwenye miji hiyo wengine wamejichanganya na raia wa kawaida wakisoma upepo kwanza, wakati Rwanda wakishangiria ushindi kuna kitu kinakuja tuendelee kusubiri. Magaidi wameamua kujificha na kukaa kimya wakiusoma mchezo. Guerilla warfare haiwezi kumalizika kijinga hivyo!
Rwanda wako kwenye ubora wao in term of military Power... Tuliwachokoza siku moja watatukojoza saana.