mchezo gani huu....?

Auchhhh hilo jipembe limo ndani ya nyama ya paja mhhhhh.....na inaelekea keshaburuzwa sanaaa hapo!!
 
Spanish bull fighting hio. Ni noma. Hata south americans wanayo michezo hii.
 
Michezo gani hii ya kuhatarisha maisha ???????
 
na watu badala ya kuokoa wanafuatilia tukio kwa kupiga picha mmh!
au photoshop jaman! maana ni hatarii.
 
wanalipa kiingilio....

Hela gani ya mateso ya kuumia mpaka kutoka damu hivyo ??????

Mashamba hayajaisha, Bora niende huko shambani lakini sio kuhatarisha maisha yangu kwa michezo kama hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…