Mchezaji wa zamani wa klabu ya Pamba Nteze John sasa ni Mchungani nchini Marekani

Duh! Jirani yetu nyaishozi enzi za 2002-2005 akaenda zake marekani...hv Mushta bado yuko naye (Dada wa Bashe alosifiwa na ndugai bungeni)?

Jamaa alikua muungwana na ustaarab sana sema mkewe jamani, ngumi mkononi hatari ..kivuruge uwiii🙌🙌🙌
 
Duh..jirani yetu nyaishozi enzi za 2002-2005 akaenda zake marekani...hv Mushta bado yuko naye( Dada wa Bashe alosifiwa na ndugai bungeni)?
Jamaa alikua muungwana na ustaarab sana sema mkewe jamani..ngumi mkononi hatari ..kivuruge uwiii
Yule mdada Wa Kisomali ndo alikuwa Mkewe?
 
Waafrika hasa watz kujiajiri ni ngumu sana, naona mdau ameenda kula vya madhabauni, watanzania wengi wanaenda kujiajiri huko kunisani hasa wakistafu, wajeda, wezi, komediani na nk nk.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nteze John,huyu jamaa ni noma,sema alicheza enzi zile mpira haukua biashara zaidi kama miaka hii.
 
Back
Top Bottom