Mchezaji wa ovyo wa kufungia mwaka{tafsida}

mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,446
988
Kuna wachezaji wengi walishindwa kuleta ushindi katika timu zao za taifa,
lakini kwa maoni ya wapenda ushindi katika timu nyingi za kitaifa mchezaji anayecheza na mashabiki na kusahau jukumu LA kuiletea timu ushindi ama anakamia wachezaji pinzani bila kujali kama kuna refa ama lah, au anavuruga utaratibu wa mazoezi kabla ya mashindano eti mazoezi yaanzie kipindi cha ligi tuu, kwa mchezeshaji wa timu kama Huyo ni wa ovyo kabisa hastahili kupangwa mpambano ujao.

Mkuu naamini ni tasfida na siyo tafsida. Isitoshe tasfida ni tamathali ya usemi ambayo lengo lake hasa ni kupunguza makali ya lugha ili kutoharibu mashiko ya kitamaduni na muktadha wa kijamii. Mfano: Badala ya kusema Juma anakunya tunasema Juma anajisaidia. Najua unachotaka kusema hapa kuhusu huyo mchezaji wa hovyo lakini sina uhakika kama hii ni tasfida. Pengine ni sitiari au matumizi komavu ya lugha ya picha.

Yote kwa yote mkamia maji hayanywi na majigambo na kujionyesha wakati mwingine huzaa matunda ndiyo siyo. Na kuchamba kwingi waweza kujikuta waondoka na kimba
 
Nimekupata, mchezaji wa hivyo hapa bongo hhupangagwa tena,
 
Mkuu naamini ni tasfida na siyo tafsida. Isitoshe tasfida ni tamathali ya usemi ambayo lengo lake hasa ni kupunguza makali ya lugha ili kutoharibu mashiko ya kitamaduni na muktadha wa kijamii. Mfano: Badala ya kusema Juma anakunya tunasema Juma anajisaidia. Najua unachotaka kusema hapa kuhusu huyo mchezaji wa hovyo lakini sina uhakika kama hii ni tasfida. Pengine ni sitiari au matumizi komavu ya lugha ya picha.

Yote kwa yote mkamia maji hayanywi na majigambo na kujionyesha wakati mwingine huzaa matunda ndiyo siyo. Na kuchamba kwingi waweza kujikuta waondoka na kimba
Aksante kwa mahihisho kadhaa naamini haijaondoa maana halisi ya mkutadha huu.
 
Mkuu naamini ni tasfida na siyo tafsida. Isitoshe tasfida ni tamathali ya usemi ambayo lengo lake hasa ni kupunguza makali ya lugha ili kutoharibu mashiko ya kitamaduni na muktadha wa kijamii. Mfano: Badala ya kusema Juma anakunya tunasema Juma anajisaidia. Najua unachotaka kusema hapa kuhusu huyo mchezaji wa hovyo lakini sina uhakika kama hii ni tasfida. Pengine ni sitiari au matumizi komavu ya lugha ya picha.

Yote kwa yote mkamia maji hayanywi na majigambo na kujionyesha wakati mwingine huzaa matunda ndiyo siyo. Na kuchamba kwingi waweza kujikuta waondoka na kimba
Ni TAFSIDA mkuu na siyo TASFIDA
 
Ni TAFSIDA mkuu na siyo TASFIDA
Inawezekana uko sahihi mkuu
6bf2549de1b023553e243906d6302daa.jpg
 
Juma Ponda Mali...(Mensah)..anataka yeye ndiyo ashambulie. ..Adake...akabe. ...azuie. .....Atahivyo sasa hivi yupo mchangani huko Magu Fc. ...
 
Back
Top Bottom