Genius wa mpiranon flying dutchman
Ukiacha Gaucho, mwengine ni Austin "Jay jay" Okocha,LEO tukiwa tunaadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa Ronaldinho Gaucho, mmoja kati ya Wanasoka mahiri kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.
Wengi wanaamini bado hakuna mchezaji aliyefanikiwa kuziba pengo lake licha ya uwepo wa Messi na Ronaldo, wapenda soka wote wanam-miss na wanatamani siku zingerudi nyuma ili Gaucho arudi uwanjani.
Je wewe ukiwa kama shabiki na mpenzi wa soka, kama siku zingerudi nyuma ni Mchezaji gani wa soka aliyestafu ungetamani umuone akisakata tena kabumbu?
Umenitajia beki wangu bora kabisaFernando hierro-madrid
Huyu nae alikuwa anatoa burudani si za kitoto, akiwa na mpira si wa kumuendea kishamba shamba, atakunyoosha kweli kweli!manuel rui costa
G Masatu, Dua Said, John Makelele, Malota SomaMohamed Hussein Machinga na Said Mwamba Kizota
Zambia ya hatari sanaRichard mwanza
Eston mulenga
Derby makinka
Numba mwila
Moses chikwakwala
Kk eleven *R.I.P*
Yupo Yanga FcHaruna Moshi Shaaban Mawela.. "Boban"
DU malota soma longtime sanaHussein Marsha, Athuman China,?Mohamed Mwameja, Malota Soma, Madaraka Suleiman,Zamoyon Mogella, Twaha Hamidu, George Masatu, Kasongo Athuman n. K
Ongeza na Didier Zokora katika list yako.Mimi ni mnazi wa masuti ya mbali hivyo na wa miss pia
Michael Ballack
Frank Lampard
Steven Gerald
Michael Essien
Deco
Nedved
Scholes na
Tosten Frings
Hawa jamaa usiombe wakutane na mpira una ambaa ambaa mita 20 hadi 30 kipa ataona nyotanyota tu.
Kwa kipa nammiss Oliver Khan
Yupi huyo? Mbona kama kumbukumbu zangu hazioneshi uwepo wa huyo mtu ndani ya kikosi cha Liverpool? Au unasema Michael OwenJamani nimesahau jina la yule kijana wa Liver pool ambaye alikuwa kila siku naumia ila alikuwa mfungaji bora wa timu yake na England. Ilibidi alitire akiwa mdogo.
Ball JuglerTulam