Kubet ndo kunini mpenzi?
Mimi ulishaniona majukwaa ya mpira... sijui hata EPL ina timu ngapi na ni ipi inaongoza ligi.
TehMimi ulishaniona majukwaa ya mpira... sijui hata EPL ina timu ngapi na ni ipi inaongoza ligi.
Huwa unabet? unakula lakiniTeh
Mi sijui mpira ila kubet siachi
Nasikia huko kauli ya JK imetamalaki, kula na kuliwaHuwa unabet? unakula lakini
kuna sehemu nilikuwa nikipita nakuta wazee miaka 70s wanachora mikeka kijiweni.Nasikia huko kauli ya JK imetamalaki, kula na kuliwa
kuna sehemu nilikuwa nikipita nakuta wazee miaka 70s wanachora mikeka kijiweni.
Wanapeana moyo kinoma...leo chlsea lazima atulishe.
HahaUtafikiri wao ndio watakua uwanjani kufunga magoli. Ndio maana sishabikii timu yoyote. Natizama mpira kama burudani tu nikiubabatiza ila sio kitu cha kuniweka roho juujuu
Ebu ngoja kidogo mama unewahi kushinda vp unatumia tekniki ganiTeh
Mi sijui mpira ila kubet siachi