Mchepuko

Nngejua jiran ningekupa hata bia mbili bro... yani umenena yaliyo mema
 
Ukichepuka mkeo pia lazima achepuke sasa raha yake utaiona!
 
Hapo sio brother,unawezakuja shtuka umemuoa kabisa. Naona kiza mbele,kimbia kama unaweza...
 
alafu wewe ni mwongo ask me why ,,... wewe ni frankclemence ulitafuta mchumba kwa matusu humu umebadilisha username naona unaleta swaga za uongo uongo tu

Umeona enh miss chaga! Kudanganya kwenyewe hajui! Kasema ni free p hana time na hela zake mara oh kaniomba hela za saloon! Seriously hahaha jf imeingiliwa na wahuni
 
Umeona enh miss chaga! Kudanganya kwenyewe hajui! Kasema ni free p hana time na hela zake mara oh kaniomba hela za saloon! Seriously hahaha jf imeingiliwa na wahuni

Muhuni ni Bibi yako nyumbani kwenu shwain
 
Umeona enh miss chaga! Kudanganya kwenyewe hajui! Kasema ni free p hana time na hela zake mara oh kaniomba hela za saloon! Seriously hahaha jf imeingiliwa na wahuni

Anaboa sana alafu anazengua na thread.za.uongo uongo nachukia
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua ukimwi kk si mzazi mwenzako si ukimzalisha utakuwa msalaba wa milele kwa huruma hizo huku hukumbuki alivyokutenda
 
Huwa najiuliza hivi nina wivu au uchoyo?Sipendi ku-share mwanamke na dume mwenzangu hata aweje!Ee..mugabho,poole!
Ni ubinadamu huo hata akinamama hawapendi mitala ila basi tu. Sawa na mbwa kufungwa kamba shingoni, huwa hapendi ila afanyeje hana uwezo wa kujinasua.
 
kaombewe kwa Gwajima shida yako kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…