Mchepuko

Huwa najiuliza hivi nina wivu au uchoyo?Sipendi ku-share mwanamke na dume mwenzangu hata aweje!Ee..mugabho,poole!
 
Kuchepuka siyo dili,ni USHAMBA,na wewe ni MSHAMBA MKUBWA.
Mheshimu Mungu,
Iheshimu ndoa yako,
Mheshimu mkeo.
UZINZI NI DHAMBI,
NA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Usifikiri Mungu hakuoni,anakulia timing.
Subiri Counter attack inakuja.

Ayaaaaa....mnatuharibia soko jamani
 

si uongo mchepuko mtam sana nimecheka eti kapendezaaa ahaaaa hakuna simba mbele ya k. na mm nitumie mpesa niende saloon
 

uko sawa mkuu na mimi sirudiagi matapishi ila mleta uzi kanichekesha sana
 
Nisiwe muongo Kwa kweli sijui mkuu

Basi kama hujuhi hata wewe mwenyewe mwenye mchepuko 7bu ya kuwa na mchepuko, acha kabisa hiyo tabia, how comes unafanya kitu bila kujua kwa nn unafanya! Ukiendelea utakuwa wa ajabu na Lazima Mungu atakuchapa bakora! Ni ushauri tuu!
 
Kuchepuka siyo dili,ni USHAMBA,na wewe ni MSHAMBA MKUBWA.
Mheshimu Mungu,
Iheshimu ndoa yako,
Mheshimu mkeo.
UZINZI NI DHAMBI,
NA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Usifikiri Mungu hakuoni,anakulia timing.
Subiri Counter attack inakuja.
Mmmh....
Rahisi sana kusema
 
alafu wewe ni mwongo ask me why ,,... wewe ni frankclemence ulitafuta mchumba kwa matusu humu umebadilisha username naona unaleta swaga za uongo uongo tu
 
kwa pozi na dharau akajifanya amenisahau/
akaniona takataka mbele ya washika dau/
ilibidi niondoke machozi yakinilenga/
shetani kashanitega na tunda langu kamega/

#nikusaidiaje Prof j
kumbe huyu jamaa aliimba ukweli

najaribu kuwaza kwa maandishi
 
Last edited by a moderator:
jibu nitalokupa mm nahs jf ntatolewa endelea tu kuchua uxhaur kwa pipoz wengine mwaya
 
Kumbe mchepuko tu anahaki ya kufanya chochote atakacho, endelea naye hadi kale ka ugonjwa kakupate.
 
Kuchepuka siyo dili,ni USHAMBA,na wewe ni MSHAMBA MKUBWA.
Mheshimu Mungu,
Iheshimu ndoa yako,
Mheshimu mkeo.
UZINZI NI DHAMBI,
NA MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Usifikiri Mungu hakuoni,anakulia timing.
Subiri Counter attack inakuja.

mkuu unatumia kinywaji gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…