Mchepuko

Mchepuko

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Wanajamii heshima kwenu.
Hii ni stori ya kweli,so makinika.

Nimekuwa na mchepuko Kwa takribani Kama miaka mitatu sasa,mtaani wanaita nyumba ndogo.

Huyu mchepuko Ana age range ya 27-34 na bado hajaolewa.
Mara ya Kwanza kukutana nae alinielezea jinsi mwalimu wa shule moja Moro aliyekuwa nae kimapenzi alivyomtenda na out of sympathy nikaamua niwe Naye-kumbuka sikuwahi kuwa na mchepuko in my lifetime.

Alilia sana that day nakumbuka tulikuwa some place karibu na Police officers mess Dar es salaam.

After that akawa official sex toy coz ilikuwa ni free P Kwa kwenda mbele though wakati mwingine nlitoa huduma mbalimbali of which she didn't care much,Huyu dada ni mzuri balaa.

Kilichonifanya kuandika yote haya;
Huyu dada nimeshamfumania Mara Tatu since we met and Mara ya mwisho alinikana kabisa kuwa Mimi siyo mpenzi wake na hanijui.

Mimi nilikuwa mpole coz that day home nilikuwa na wageni kutoka Kigoma nyumbani so wasingenielewa movement zangu za Usiku,so nikawa mvumilivu.Ila cha ajabu asubuhi yake Huyu dada alikuja kuniomba msamaha na kujutia alichofanya na kudai ni pombe.

Nlimpiga chini na kuachana nae kabisa,ila sasa juzi Hapa nimemuona kapendeza sana na anagradute soon,akaniomba hela ya saloon na Nguo za graduation.

Nimejikuta nimesahau kila Alichonifanyia nikamnunulia kila kitu na bado nikaendeleza kupiga papuchi yake Kama kawaida.

Nafsi inanisuta Kwa kurudia matapishi ila pia nimefika mwisho wa kufikiri.

Je ninaweza kumwacha Huyu kweli au ndo kashanisafiria kwao

Asanteni.
 
Ohoooooooo siamini hiii kitu aiseee, huna kinyaaa? At least kula kitu ambacho hujaona mwengine akila
 
Ohoooooooo siamini hiii kitu aiseee, huna kinyaaa? At least kula kitu ambacho hujaona mwengine akila

Sijaona Mtu akila live mkuu that makes it all different,hivi vitu havina formulae ukikua utavijua tu mdogo wangu
 
Sijaona Mtu akila live mkuu that makes it all different,

Basi endelea kwa raha zako mpwa tatizo mafumanizi huishia kukatwa kifanyio
 

Attachments

  • 1415416933115.jpg
    1415416933115.jpg
    35.5 KB · Views: 1,135
  • 1415416953695.jpg
    1415416953695.jpg
    152.7 KB · Views: 1,129
Wazinifu bwana,ona anavoandika vingereza vyake nahisi hata kuongea ni hivohivo.Yan umemfumania,hamjapima HIV,pesa unatoa na unaendelea kuzin!.Nakushauri ujichunguze kwanza huenda we ni raia wa kigeni.
 
Wala "hajakusafiria" kama anajua kazi 6*6 ndicho kinakufanya uwaze kumrudia!
USHAURI;Kama bado una feeling,endelea kula kwa masharti yafuatayo:-
1.Tumia kinga kila tendo
2.Heshima kwa mkeo ibaki palepale
3.Usiwe na mahaba niue kwake
4.Usimuamini na 'kumuabudu' sana

MCHEPUKO NI DILI UKIWA MJANJA
 
Mmmh! Huwa napata taabu sana nikisikia mtu ana mchepuko! Hivi, labda kwa mfano, mi nikakuuliza 7bu kuu ya kuwa na mchepuko ni ipi!?? Ebu tuanzie hapo kwanza kabla sijatiririka!
 
gentleman's decision 'usirudie matapishi yako' hata kama yameongezwa fleva,hiyo inadhihirisha jinsi ulivo cheap na unavoendekeza tamaa,watu dizaini hii hushia pabaya sana kwa kuuliwa au kuambukizwa maradhi,si vibaya kumsaidia ila hakuna kukumbushia,endelea kuwachekea utajalia na kusaga meno,kuwa na msinamo
 
Mmmh! Huwa napata taabu sana nikisikia mtu ana mchepuko! Hivi, labda kwa mfano, mi nikakuuliza 7bu kuu ya kuwa na mchepuko ni ipi!?? Ebu tuanzie hapo kwanza kabla sijatiririka!

Nisiwe muongo Kwa kweli sijui mkuu
 
gentleman's decision 'usirudie matapishi yako' hata kama yameongezwa fleva,hiyo inadhihirisha jinsi ulivo cheap na unavoendekeza tamaa,watu dizaini hii hushia pabaya sana kwa kuuliwa au kuambukizwa maradhi,si vibaya kumsaidia ila hakuna kukumbushia,endelea kuwachekea utajalia na kusaga meno,kuwa na msinamo

Noted mkuu at least it has sunk in my small head,Jana nilikuwa nae ila nikimuangalia naskia hasira sana nashindwa kumuavoid coz tunaishi karibu sana na ni kinga'nga'nizi balaa
 
Back
Top Bottom