Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,328
- 4,375
Kwani kasema uongo?Ah kwenda zako huko[emoji57]
Acha uboya unafikir mumeo na uhb wote ule umiliki peke yako kweli.Hata wewe![emoji27]
Naenda kumwambia mwalimu!!!Oh yeah....we hujawahi?
Ukiutumia unaweza kuhis umechanganywa na cocain.Una nini?
apo apoSi ndo kona bar hapo?
Wee jamaaa mbona mkabila mkabila hiviNjia kuu ni Mchagga[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Tatizo kishapitia mtandao pendwa.Kwanini usiupandishe cheo ukawa njia kuu badala ya mchepuko wa kudumu?
Kumbe ana mwalimu tena?!Naenda kumwambia mwalimu!!!
Kumbe huwa unamzuga ulikuwalindo kumbe umekwenda kwa mchepuko?
Wewe na yeye lenu moja[emoji57]Acha uboya unafikir mumeo na uhb wote ule umiliki peke yako kweli.
Pole saaana best yangu furahi hta kwa kukuambia Ana mchepuko ongeza juhud usimamie ukucha had Nyani Ngabu asahau njia ya CBE
Hata sijui kaniweka kundi gani hapo mieKwani kasema uongo?
Au njia kui ni wewe?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hata sijui kaniweka kundi gani hapo mie
Niache uko. Bado nimekununia[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ngoja nikakununulie ile pafyumu [emoji8] [emoji8] [emoji8]Niache uko. Bado nimekununia
Peleka kwa hilo chepuko lakoNgoja nikakununulie ile pafyumu [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nimeipenda hii....Peleka kwa hilo chepuko lako
Unapata wapi mda wa kuwa na mchepuko Tz wakati mda mrefu upo USA si bora uchukue huko huko.
Valentina mamboKwanini usiupandishe cheo ukawa njia kuu badala ya mchepuko wa kudumu?
Poa my kaka...Valentina mambo
Post zako zinajieleza mkuu.Umejuaje muda mrefu nipo USA?