Mchepuko wangu wa CBE

Umerudi lini kutoka kwa Obama au deportation imehusika hapa?
 
Take care, pana SIDA pale balaa
 
Tafsiri ya mchepuko ni only kama umeoa au yeye kaolewa
kama wote hamko kwenye ndoa sio mchepuko...muite gf
Hahahaha dahhh umenikumbusha ile topic yako ya nyumba ndogo lol.

NN HONGERA mno . -πŸ™‚
 
Nazidi kuwa mgeni Dar..Kangaroo ndo wapi?
Hahahaaa Bossman hupajui Kangaroo?

Ni pale ng'ambo ya Afrika Sana.

Hawalalagi usiku pale.

Pana huduma mbalimbali zikiwemo za dada poa, saluni ya masaa 24, msosi....mi huwa napenda kupitia mbuzi au kuku choma usiku wa manane kama nina njaa na kama naelekea nyumbani.
 

Si ndo kona bar hapo?
 
Hmm...sidhani. Kangaroo ipo pale kwenye ile njia ya King D hotel....ila ndo anga hizo hizo.

Inaonekana una hang out Sinza zaidi?
unapajua Brazil Pub Tegeta? opposite na kibo complex?
hisaje je?
 
Watoto wa CBE wanapenda hela balaa.Faham hapo unapendewa hela tu pamoja na kutoa sifa zote hizo kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…