Mchepuko wangu ni mtu wa vizinga

Mchepuko wangu ni mtu wa vizinga

Wadau nimemchoka huyu mchepuko kiukweli demu ni mzuri ana hips za maana anatokea Chato na alikua mwanafunzi wangu nikimfundisha masomo ya hotel ila kamaliza chuo na nikamtafutia field ila naona Sasa ananibebesha majukumu ya wazazi wake yani vizinga daily mara pedi mara chupi mara vocha yani demu maskini wa kutupwa nimejaribu sana kumpiga chini lakini ananing'ang'ania nimfanyaje huyu ili asiwe na hamu na mimi manake kila nikimkwepa lazima atakuja ghetto tu
Mtafutie kazi utapunguza mzigo wa mizinga kiasi flan
 
Watu mnashangaza sana. Umeshasema mchepuko unategemea nini? Yaani ulidhani anakupenda? 99% Michepuko huwa ipo kimaslahi
 
Wadau nimemchoka huyu mchepuko kiukweli demu ni mzuri ana hips za maana anatokea Chato na alikua mwanafunzi wangu nikimfundisha masomo ya hotel ila kamaliza chuo na nikamtafutia field ila naona Sasa ananibebesha majukumu ya wazazi wake yani vizinga daily mara pedi mara chupi mara vocha yani demu maskini wa kutupwa nimejaribu sana kumpiga chini lakini ananing'ang'ania nimfanyaje huyu ili asiwe na hamu na mimi manake kila nikimkwepa lazima atakuja ghetto tu
Acha dharau asee
 
Back
Top Bottom