Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

Amina, mzaa chema.
 
Siku hizi nimeacha hayo mambo, nimetulia sana. Nadhani ilikuwa ni ujana tu.
 

Shukrani, nimeupitia mkuu, lakini sijafanikiwa kuona mlivyorudi na maisha yaliendelea vipi
 
Mwache kwao isitoshe si mke balu mzinzi mwenzio. Yaani uteleleze mke na watotokwa ajili ya changu! Usomi na akili gani unatumia? Je ungejisiaje mkeo angefanya ulichokuwa ukifanya kwa miaka hiyo yote? Tazama mbali. Dhuluma inaponza
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…