nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,682
- 14,067
Hapan shaka wa tz
tumeendelea,tunamiliki vijigari kadhaa.
Hutokea mtu na my wife wake ku share gari.
Huongozana kazini toka majumbani.
Mara nyingine michepuko pia ina husika.
ukitaka kujua huu ni mchepuko
utakuta jamaa usoni kuna 1.nuru
2.anatabasamu au 3.hupiga stori za hapa na pale
na angalau 4.vinywaji vitahusika au 5.vitafunwa.
Mchepuko nae rahaa full kujiachia kwenye gari
hatulii
lakini iwapo ukichungulia kwenye gari ukaona mwanamke
amevuta mdomo ki sawasawa (kanuna balaa)
na pembeni jamaa kakunja ndita ya kutosha
no story no what.
Aaah!huyo ni mtu na my wife wake.