Mchepuko unataka ujipandishe cheo

Mchepuko unataka ujipandishe cheo

Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja. Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.
Nimecheka kwa sauti hiyo stori yako ilishanikuta kwa mtu fulani ameona age imeenda na hana mtoto akaja na swaga za kutaka kuzaa na mm lakini sharti nimjengee nyumba nijamuuliza hiyo nyumba na kumpa 10M nikamjibu watoto nilionao nikitaka kuongeza wife atazaa tu na hiyo pesa ya kukujengea na 10M inatosha kuwatunza na kuwasomesha hadi Vyuo vikuu
 
Ukiwasikiliza sana,wanaharibu.
 
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja. Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.
hizi ndio shida za kupiga game za nje seriaz
 
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja.

Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu.

Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.
Kuna shida kubwa mahali
 
Wakati ubaongea nae hayo yote usiku mkeo alikuwa wapi?
Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja.

Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu.

Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom