Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,507
- 64,849
- Thread starter
- #21
Nipe ushauri mkuu,ningefanyaje?
Nipe ushauri mkuu,ningefanyaje?
Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. .
Basi kawaombe ushauriAta wazee wa kale au baba zetu wanafanya haya mkuu
Kama hutaki upuuzi acha kuchepuka. Ukichepuka kubali drama zote hizo. Kama umeshindwa kumuwekea limit tangu mwanzo ujue hata wewe ni tatizo. Unaruhusu vipi akupigie simu usiku, hujamuwekea mipaka?Nipe ushauri mkuu,ningefanyaje?
Kweli mkuu,na hapa ukijichanganya tu..maisha yako yote yanakuwa ni mateso tuNjaaa huyo. Harafu kuna wanawake selfish sana. Eti umejengee kwake, umuache mkeo, anakipi kipya cha ku offer, hadi aone ana stahili yote hayo hata uvunje ndoa.
Hadi kaomba nauli sijui nin, I BET NI ZILE TYPE ZA WANAWAKE AMBAO NJE NA SEX, HANA CHA KUONGEZA KATK MAISHA YA MAN.
Walishaleta ushauri mkuuBasi kawaombe ushauri
Nyie wanawake huwa mna silaha zenu mnazijua wenyeweKama hutaki upuuzi acha kuchepuka. Ukichepuka kubali drama zote hizo. Kama umeshindwa kumuwekea limit tangu mwanzo ujue hata wewe ni tatizo. Unaruhusu vipi akupigie simu usiku, hujamuwekea mipaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana afadhali, kuliko huyo anayetaka ajengewe nyumba na aolewe yeye ahaha
Kiuchumi siko vibaya sana,naishi kwa kuwatazama nyie chini; hoja hapa,je ni sahihi yeye kufanya hivyo.Mkeo wa Maana Mchepuko wakazigani ? Sema Huna uwezo wa Kum Affords basi Nasio kingine
Ukiwa na mchepuko na Huna Hela Ndio hutokea Haya Angalia Kama Kina Mengi na Matajiri wengine mademu zake wote kawashushia mijengo Ya maana
Unataka Kula kimasihara kuhonga huwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha mkuu, hawa wenye vyura wana vioja vingiHuo mchepuko no 9 sio?! Maana no2 ulizaa na kupangishiwa kama sijasahau
Kiuchumi siko vibaya sana,naishi kwa kuwatazama nyie chini; hoja hapa,je ni sahihi yeye kufanya hivyo.
Then punguza ikiwezekana acha kabisa. Sidhani kama ukiskia mwenzio anachepuka utafurahiaha ha ha mkuu, hawa wenye vyura wana vioja vingi
Then punguza ikiwezekana acha kabisa. Sidhani kama ukiskia mwenzio anachepuka utafurahia
Unajua mkuu,vitu vizuri vinakuja 'automatic',sasa mtu anaweka 'condition' fulani ili iwe hivi inabidi iwe vile. Hii ina maana,kama ataendelea kusikilizwa ipo siku utaiona familia yako haifai. Na wengine tunachepuka kwa sababu kadhaa,labda bi mkubwa hawezi kuimili mchakamchaka wa tendo n.kNdio nisahihi ww Sindio mtu wake akamwambie Nani na we Ndio unamtumia Kwa Wakati huu
Ukitaka Kula na wewe Kubali kuliwa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maisha mkuuKazi kwelikweli.
Kweli mkuu,nimeanza kuchukua hatua kwa sababu umri unakimbia na fainali ni uzeeniThen punguza ikiwezekana acha kabisa. Sidhani kama ukiskia mwenzio anachepuka utafurahia
Usiishie kukata simu tu, kata hadi mawasiliano kati yenu.Mchepuko unataka ujipandishe cheo..
Nashangaa ananipigia simu usiku, huku akiongea kwa sauti ya mahaba...akilalamika amenimisi na anahitaji kuja kuniona. Kiutani nikamwambia kama una nafasi we njoo hata kesho...mara ananiambia inabidi utume kiasi fulani cha fedha ili niweze kuja. Nikamwambia haina shida nikipata nitakutumia. Mara akaanza kutiririka...unajua nataka unioe na kabla ya kukuzalia mtoto inabidi unijengee kwangu. Nikamjibu si unajua mimi ni mume wa mtu na kuongeza mke mwingine siwezi....mara akaja juu na kusema, unamuacha na unaishi na mimi; hapo hapo nikamjibu siwezi kumuacha mke wangu niliyepambana naye toka mbali kwa ajili yako, na nikakata na simu.Hawa watu tuishi nao kwa akili si waungwana.