Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
Hawezi Ndio umfundishe mm Sioni Sababu Ya kuchepuka Kisa Eti Mkeo Hawezi mchakamchaka ulioa Wakazi gani sasa hadi mkazaa
Aliweza vipi kukubebea Mimba Kama Hawezi Mchaka mchaka Ninacho Amini.mimi mwanamke
Hutengenezwa awe the way boi wake Anataka awe
Hakuna Anae zaliwa anajuwa Mambo huwenda kwakuelekezana Mpe Fursa Mkeo Hata yakutazama video za romantic lovers Huwenda ikamjenga na kujuwa wajibu wake
Lasivyo Ukitaka vinanvyo juwa Lazima ugharamie no way Mzeee
Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua mkuu,vitu vizuri vinakuja 'automatic',sasa mtu anaweka 'condition' fulani ili iwe hivi inabidi iwe vile. Hii ina maana,kama ataendelea kusikilizwa ipo siku utaiona familia yako haifai. Na wengine tunachepuka kwa sababu kadhaa,labda bi mkubwa hawezi kuimili mchakamchaka wa tendo n.k
Sent using Jamii Forums mobile app